EXCLUSIVE!! Kwa mara ya kwanza, mrembo kunako filamu za Kibongo, Kajala Masanja amefunguka kuwa ameokoka hivyo ameamua
kumrudia Mungu kwa sababu anaona mambo ya kidunia kwa wakati huu hayana nafasi na si ya kuyaendekeza.
habari michezo na burudani