MVUA YASHINDWA KUMZUIA MKUU WA MKOA WA MBEYA KUKIMBIZA SPEED YA HAPA NI KAZI TU ONA HAPA LEO LIVE!!



Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Amos Makala amaliza Mgogoro wa mahali pakujenga zahanati ya kijiji
Ameagiza zahanati isijengwe eneo lenye Mgogoro ambalo ndilo lililokusudiwa kwasasa na badala yake lijengwe eneo la ghala karibu na sekondari ya kata
Aidha amemwagiza mkurugenzi wa halmashauri kuwachukulia hatua mhandisi wa ujenzi kwa kuwapotosha wananchi kuanza ujenzi sehemu yenye Mgogoro








Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: UTAMU WA MADAM JESCA

Simulizi; MTOTO WA BOSS WANGU

SIMULIZI FUPI: UCHI WANGU UMENIPONZA