MKUU WA MKOA WA MBEYA ATEMBELEA KARAKANA ZA KUTENGENEZA MADAWATI


 Mkuu wa Mkoa wa mbeya atembelea karakana za kutengeneza madawati na kuongea na wenyeviti wa vijiji, watendaji wa vijiji, kata na wakuu wa idara

Amewashukuru wananchi, wafadhili na halmashauri kwa kazi nzuri ya utengenezaji wa madawati

Amewataka watengeneza hi wa madawati wazingatie ubora na kwa Mkoa wa Mbeya zoezi utengenezaji madawati likamilike trh 30 mei, 2016
 

 
 
 
 


 

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: UTAMU WA MADAM JESCA

Simulizi; MTOTO WA BOSS WANGU

SIMULIZI FUPI: UCHI WANGU UMENIPONZA