SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumatano, 2 Machi 2016

T media news

BREAKING NEWZZ....Jiji la Mwanza Lalipuka kwa shangwe...Wenje Ashinda Kesi ya Pingamizi Lililowekwa na Mabula Mahakamani



Aliyekuwa Mbunge wa Nyamagana Ezekiah Wenje ameshinda pingamizi aliyowekewa na mbunge wa Nyamagana Stanslaus Mabula
Kesi ya msingi itaanza kusilizwa tarehe 6|03|2016.
Jiji limesimama kwa muda watu wanashangili kwa furaha mama ntilie machinga ..wanashingilia taarifa kamili tutawaletea baadae