MNARA WENYE UREFU ZAIDI YA ULE WA DUBAI KUJENGWA KATIKA MJI MPYA WA JAPAN

Japan imepanga kujenga mji mwingine mzuri, Katikati ya mji kutakuwa na mnara wenye urefu wa ft 5,577

Utakuwa una urefu mara mbili zaidi ya ule wa Dubai

Unaweza kuhifadhi watu 50,000 na utakuwa na gyms,hotel na huduma za afya

Muundo wake utajulikana kama Sky Mile

Mji huu utakuwa na pembe sita wakiamini pembe sita zina uwezo mkubwa wa kuthibiti upepo

Lifti zake si kwamba zinakuwa na uwezo wa kukupeleka ghorofa moja hadi nyingine,bali zitakuwa na uwezo wa kukupeleka hadi katika chumba chako

Mji huo utakamilika rasmi mwaka 2045,na utakuwa na nyumba 500,000

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: UTAMU WA MADAM JESCA

Simulizi; MTOTO WA BOSS WANGU

SIMULIZI FUPI: UCHI WANGU UMENIPONZA