Kifo cha Benjamin Netanyahu




Nikianza kwanza kuhusu uhai wa Benjamin Netanyahu Hadi Sasa taarifa ambazo mimi hamesha ninazo ni kuwa Benjamin Netanyahu yupo hai, hizo ndizo ambazo Hadi Sasa ninazo 

Ila kuna matukio mawili yalitokea kumhusu yeye na familia yake 



1 * Maofisa  usalama wa Taifa wa  Iran ambao wapo nchini Israel walijaribu kumuua Netanyahu katika shambulio la karibu hata hivyo operation hio haikufaulu kikosi kilichotumwa hapa ni kikosi chenye kutumia Codi name ya Fatah. Hawa wajomba hawakufaulu na bado taarifa za majeruhi ya bibi Netanyahu bado hazijaenea kutokana na tukio hili ( Hili ni tukio la siri sana very classified inawezekana ikawa hapa ndio mara yako ya kwanza kulisikia)


2 * Tukio la pili hili linazungumzwa sana japo hakuna taarifa kamili ndio hio habari ya kushambuliwa kwa nyumba yake na makombora ya Iran , hili tukio linasemwa sana japo bado hakuna uthibitisho wowote Hadi sasa na inaelezwa kuwa nyumba yake ilishambuliwa tarehe 8 mwezi huu wa 3 na wanasema na yeye pamoja na ndugu zake akiwemo mwanae Yair Netanyahu, huyu yair ni mtu ambae Huwa hakauki mitandaoni yaani brother Huwa kwasiku anaweza akaposti hata mara 40 Hadi 50 yupo very active na mitandao ya kijamii ila tangu tarehe 9 mwezi huu brother hajaingia online , kwahio hapo watu wenye kujumlisha mambo wanahisi huenda ikawa kweli 



Tukirudi kwenye video ambayo watu wengi wanaichukulia kama ushahidi wa kifo cha Netanyahu 

Ile video ni video ya tarehe 03 mwezi huu ambapo Benjamin Netanyahu alikwenda Bet Shemen kama mnakumbuka kwenye Yale makazi ambayo yalishambuliwa na Iran na watu 9 wakafa 


Video yenye sekunde ya 20 Hadi 32 Netanyahu anaonekana kabisa akiwa anakagua mafaa ya pale , hivyo ijulikane kuwa pale sio kwake pale alienda kukagua masafa

Kitu kingine kwenye hio video embu msikilize huyo mwandishi anachosema uzuri ameongea kiingereza kabisa wala hajaongea lugha ya kwao mseme hamesha anatutafsiria lugha ambayo anaielewa yeye tu ila brother anaongea kabisa akisema " Tupo kwenye Moja ya maeneo ambayo yalishambuliwa , nyuma yangu waziri mkuu Benjamin Netanyahu ametembelea sehemu hii ambayo kulitokea shambulio la hatari watu Tisa walifariki"


Kwa kumalizia kuna uwezekano mkubwa Netanyahu akawa majeruhi ila sio kuuawa, kama angeuwawa tungejua tu au niseme ningejua tu Hadi Leo,    kwanza Hali ya hewa ingebadilika sana kuanzia Marekani, Israel na hata huko Iran kwenyewe kwenye vita,  Iran ingefanyiwa mashambulizi makali mno tena hata nyuklia ingetumika,  


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: UTAMU WA MADAM JESCA

Simulizi; MTOTO WA BOSS WANGU

SIMULIZI FUPI: UCHI WANGU UMENIPONZA