Kituo hiki kilikuwa mojawapo ya vituo vikuu vya mawasiliano kati ya base za anga za Israeli na ndege za kivita, na kililengwa na kuharibiwa na ndege zisizo na rubani za Vikosi vya Anga vya Walinzi wa Mapinduzi wa Iran wakati wa operesheni maalum.
Kituo hiki kilikuwa miundombinu ya mawasiliano mahususi kwa mtandao wa udhibiti wa setilaiti kwa ndege za chombo cha Kizayuni cha mchokozi.
Mbali na kung'oa kwao CCTV Camera mitaani wakihisi Iran imedukua na kufuatilia Vituo vya kimkakati vya Israel bado haijasaidia kitu, Iran inaendelea kupiga kwa usahihi malengo kusudiwa.
Msisahau walalamika njaa huko wanaomba wasaidiwe chakula kwahiyo wayahudi wa Macheme na Kishumundu jitahidini muwasaidie Chakula.
