1. Marekani wanatakiwa kufunga na kuhamisha kambi zao zote za kijeshi zilizopo Mashariki ya Kati.
2. Marekani wanatakiwa kuvifuta vikwazo vyote vya kiuchumi walivyoviweka dhidi ya Iran tangu mwaka 1979.
3. Marekani wanatakiwa kulipa fidia ya kivita iliyosababishwa na vita vyote walivyopigana dhidi ya Israel.
4. Iran iendelee kuzalisha silaha zake za masafa marefu bila vikwazo wala kizuizi chochote cha kisheria (Suala hili siyo la kujadiliana)
5. Iran inataka Israel iache kabisa kuishambulia Hezbollah kwa kusaini makubalino rasmi ya kimkataba.
6. Iran inataka kupitisha sheria mpya ya kuutawala Mlango Bahari wa Hormuz kwa kuchukua ushuru kama wanavyofanya Misri kwenye Mfereji wa Suez.
7. Iran inataka wasaini Makubaliano rasmi ya kisheria dhidi ya Marekani na Israel kwamba hakutakuwa na vita tena siku za usoni.
8. Iran haitaki kabisa kuingiliwa mipango yao ya kuzalisha silaha za nyuklia na taifa lolote wala taasisi ya kimataifa.
