MAKOSA YA BAADHI YA WATU KATIKA IBADA YA (TARAWEHE)


 

خطأ بعض الناس في صلاة

التراويح وترك الوتر


1. ترك صلاة الوتر بعد التراويح

بعض الناس يصلون التراويح ثم ينصرفون قبل أن يصلوا الوتر، وهذا من الأخطاء؛ لأن الوتر من آكد صلاة الليل.


Baadhi ya watu huswali Tarawehe kisha huondoka kabla ya kuswali Witri. Hili ni kosa, kwa sababu Witri ni katika swala muhimu za usiku.


2. فوات فضل القيام مع الإمام حتى ينصرف

قال رسول الله ﷺ:

«مَنْ قَامَ مَعَ الإِمَامِ حَتَّى يَنْصَرِفَ كُتِبَ لَهُ قِيَامُ لَيْلَةٍ»


Mtume ﷺ amesema:

“Atakayeswali pamoja na imamu mpaka amalize, ataandikiwa kama ameswali usiku mzima.”


3. الوتر ختام صلاة الليل

قال رسول الله ﷺ:

«اجعلوا آخر صلاتكم بالليل وتراً»


Mtume ﷺ amesema:

“Fanyeni swala yenu ya mwisho ya usiku iwe Witri.”

4. الوتر سنة مؤكدة كان النبي ﷺ لا يتركها

كان النبي ﷺ يحافظ على صلاة الوتر حضراً وسفراً.


Mtume ﷺ alikuwa akilinda sana swala ya Witri, hakuiwacha akiwa safarini wala akiwa nyumbani.

نصيحة (Nasaha):

Ni bora kwa Muislamu abaki pamoja na imamu mpaka amalize Witri, ili apate thawabu kamili na kufuata Sunnah ya Mtume ﷺ.


#Ukumbusho.✅️