Hii dunia Kila mnachokiona mjue kimeshapangwa na wahuni
Hii dunia Kila mnachokiona mjue kimeshapangwa na wahuni ambao Kwa sasa wameanzisha Rasmi kitu kinaitwa the new world order ambapo anayeamua nini kifanyike hapa Duniani ni baali
( Kaka/Dada naomba utumie muda mfupi usome Kwa makini Nina Imani Leo utapata ufunguo wa akili )
Kwanza baali ni nani?
Katika historia ya kale:
Baal alikuwa mungu wa watu wa Wakanaani na Foinike maelfu ya miaka iliyopita. Mungu huyo aliabudiwa kabla ya Wanaisraeli kuanza kufundisha Mungu wa mbinguni , mungu baali
Alihusishwa na ngurumo, mvua na nguvu za asili na umiliki wa Kila kitu.
Baali Kwa sasa anahusishwa na Lucifer wengine humhusisha na shetani mwenyewe.
Lakini katika maandiko ya dini ya Kiislamu na ya Kiyahudi, Baal alitajwa kama sanamu la ibada ya shirki ambalo agano la kale na Qurani vimekataza wanadamu kujihusisha na ibaada ya Baali
Ndani ya Qur’ani kuna simulizi la Nabii Ilyas aliposema kwa watu wake:
“Je, mnamuomba Baal na kumuacha Muumba bora kuliko wote?”
(Qur’an 37:125)
Kwa hiyo katika fikra za kidini, Baal anawakilisha ibada ya sanamu na nguvu za giza.
Turudi kwenye picha , Baali amewekwa juu kama kiumbe kinachodhibiti wengine kwa minyororo, ishara ya kwamba nguvu ya juu ya kishetani inaongoza mfumo mzima
( Matajiri, familia zenye hadhi za kifalme,watawala , wasanii, Hadi raia wa kawaida )
👉 Ila mfumo anaotumia kukontro wanadamu ni mfumo wenye daraja , anaanza na ngazi za juu mwisho ndio anawakontro watu wa kawaida ( na hii ndio inaitwa the new world order)
Baada ya Baali mtoa order mwenyewe basi 1️⃣daraja la kwanza ni Familia zenye nguvu pamoja na matajiri wakubwa hapa Duniani :
Rothschilds
Rockefellers
Royal Family
( Na matajiri wengine wakubwa wanaofahamika wote wapo kwenye ngazi ya juu)
👉 Hawa jamaa hakuna mtu Duniani anayewapa amri Wala kuwaingilia katika mambo yao , Kwa kifupi wapo juu ya Sheria na wanasapotiwa na Baali mwenyewe.
kana kwamba wao ndio wanaosimamia mali na nguvu duniani kwa niaba ya nguvu ya juu zaidi.
2️⃣Baada ya hao wanakuja wengine ambao uwezo wao na nguvu zao hazilingani na hao wa juu nao ni:
Zionists
Vatican
Freemasons
Hawa nao Wana nguvu na wanaendesha dunia wanavyo taka , wanafanya wanavyotaka na hakuna anayewanyoshea kidole Kwa sababu wapo katika mfumo wa Baali
😓 Na Cha ajabu zaidi wale matajiri wakubwa na familia kubwa wa daraja la kwanza wote wanasapoti freemason, wote wanasapoti Vatican, wote wanasapoti Zionists
( Mwenye akili tu ndie atanielewa )
Ndio maana Zionists hufanya Kila machafu ila hawalaumiwi
Vatican pia ina mengi ya Siri na hawataki yajulikane
Freemason ndio usiseme
Wote hao wamelindwa na mfumo wa utawala wa new world order ndio maana Wana nguvu na hakuna anayethubutu kuwagusa akatoboa hata siku Moja.
Siri : Freemason, Vatican, Zionists Hawa ndio wanakontro maraisi ambao ndio daraja la 3👇
3️⃣ Baada ya hao Kuna wengine wenye nguvu nao vilevile hawaguswi Kwa sababu wanalindwa na mfumo 👉 Nao ni Viongozi wa Dunia
Marais/wafalme
Mawaziri
viongozi wa nchi wenye hadhi kubwa
wanaonekana kama wanafuata nguvu zilizoko juu yao, badala ya kuwa huru kabisa.
( Na hili si uongo ni ukweli 100%)
Hakuna Raisi anaweza kugusa Roman Catholic: hayupo kama yupo mtaje
Hakuna Raisi mwenye uwezo wa kugusa freemason
Hakuna Raisi mwenye kukemea Zionists
Maana maraisi wengi hupewa amri na viongozi waliojuu yao
Kiongozi yeyote Duniani akithubutu kwenda kinyume na mfumo wao basi watamuondoa iwe kumuua au kumteka au kusababisha fujo nchini mwake.
Ndio maana Marekani anapo shambulia Iran , dunia ipo kimya hakuna anayekosoa Kila mtu anasifia na Iran ikijibu mashambulizi basi dunia inakosoa vibaya na kusema ni magaidi
Waisraeli walipowanyima chakula na maji wakawaacha wafe na njaa dunia iliangalia hakuna aliethubutu kusema fyoo hayo yote ni Kwa sababu wanaofanya Ivo Wana mfumo mkubwa unaowalinda.
4️⃣Daraja la mwisho hili ndio linatumika kuhadaa watu wa kuwaingiza kwenye mfumo
( Yaani wale maboss wa juu wao hawahangaiki wanao hangaika na kupoteza umma na kuwapumbaza ni Hawa daraja la mwisho katka nguvu za mfumo:
Media & Athletes
Actors & Musicians
( Media nyingi zipo chini ya mfumo : BBC, REUTERS, Al Jazeera,... wanapangiwa nini waposti)
Hii inaashiria wazo kwamba:
vyombo vya habari mbalimbali
sinema(waigizaji)
muziki(wasanii)
michezo(wacheza mipira na michezo mingine )
vinatumika kuathiri fikra za watu na kuwahadaa na kuwapumbaza
Ni kama jamii inawekwa kwenye usingizi wa akili ili ikontroliwe kiulaini.
Wasanii kuvaa uchi
Wacheza mipira kupewa pesa kubwa
Waigizaji kuigiza movie mpya Kila siku
Haya yote yanafanyika ili kizazi kiwaze mziki tu kiwaze mpira,kiwaze uigizaji basi
Hawa jamaa hawataki kizazi kiwaze mambo ya msingi ya kujitambua hata siku Moja maana itakua ngumu kuwatawala.
Angalia jinsi pesa zinavyo mwagwa Kwa wacheza mpira mpaka unabaki unajiuliza yaani mpira ndio unamfanya mtu atajirike kuliko raisi wa nchi?
Pesa zinamwagwa Kwa wasanii
Pesa zinamwagwa Kwa actors (waigizaji)
Hii haifanyiki Kwa bahati mbaya hapana lengo unapotezwa wewe kasongo
Ndio maana zuchu anaweza kuimba ujinga huku amevaa chupi na mziki ukawekwa viral na mapato makubwa kuliko Roma makatili akiimba wimbo wa kizalendo : wimbo huu kwanza Basata wataufungia na kuupiga marufuku kwamba unapoteza jamii
Hii dunia ina mengi
Daraja la mwisho kabisa ambalo halina nguvu ni Wananchi wa Kawaida
Wananchi wako chini kabisa kwenye mfumo.
Wanatazama tu, bila kujua nini kinaendelea juu yao.
Yaani maskini ya Mungu raia wao ni Bendera fata upepo ispokua wale raia wenye akili ya kujitambua hao wamejitoa ktk utawala wa Baali
Ndugu yangu dunia inaendeshwa na mtandao wa siri unaodhibiti kila kitu.
( Hili amini usiamini ila huu ndio ukweli kabisa)
Yeyote anayeenda kinyuma na mfumo basi kifo au jela vinamhusu
Msani akijitoa kwenye mfumo tayari kifo kinamhusu
Muigizaji wa movie akijitoa kifo kinamhusu
Raisi akipinga amri za wakubwa wake tayari ananyofolewa chapu
Hii dunia sijui lini itakuwa na haki.
Anyway kama umeelewa share Kwa wenzako wapate chakula Cha akili.

Maoni
Chapisha Maoni