Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi, 2017

ShyRose Bhanji Amvua Nguo Rais Magufuli..Adai Alimfanyia Ubabe kwenye Kamati Kuu..!!!

Picha
Katika Hali ya Kuonyeshwa kuwa hakuridhishwa na jina lake kukatwa na kamati kuu ya chama cha mapinduzi katika kuwania ubunge wa bunge la jumuiya ya afrika mashariki,Aliyekuwa Mbunge wa Bunge Hilo Kutoka Tanzania Shyrose Banji amefunguka Makubwa ya kushangaza. Kupitia Ukurasa wake wakijamii wa instagram ,Shyrose ameonyesha kukerwa na kile alichokiita ni ubabe wa Mwenyekiti wa CCM,Rais Dk John Magufuli,ambapo kwa madai yake anasema kuwa Lilipofika jina lake,Rais Magufuli Alisema Kuwa Hataki hata kulisikia tupa kule. Zaidi ni Hivi Alivyoandika katika ukurasa wake huo. "Kwa habari nilizoziskia ni kwamba Mwekekiti wa Chama Rais JPM katika kikao cha CC ilipofikia jina langu kujadiliwa akasema: "Huyu wala sitaki tumjadili sitaki hata kumsikia" Naambiwa wajumbe kama wanne walinyoosha mkono lakini akawakatalia na kusema mjadala umefungwa #FullUbabe CC @hpolepole"  

Ukweli Mchungu..Ushahidi wa Wazi kwa Uvamizi wa ,Makonda Alioufanya Clouds TV..!!!

Picha
Wakuu, naomba Leo tuweke ushabiki pembeni tudadavue  uvamizi wa RC pale Clouds TV. Naomba tuangalie mazingira yote kwa uwazi kabisa tuje na conclusive evidence juu ya tukio hilo la kulaaniwa.  1. CCTV FOOTAGE  Anaonekana mkuu wa mkoa akiingia kwenye mlango wa kwanza akifuatiwa na mtu mmoja aliyevaa kiraia hana silaha kisha askari askari mwenye silaha aliyefunga mlango huo. Jumla ya walioingia ni watatu. Halafu anaonekani mkuu wa mkoa akifungua mlango wa pili (wa kuingilia studio?). Anapoanza kuingia ndani footage inakoma 2. USHAHIDI WA MAZINGIRA Masaa kadhaa baadaye taarifa zinazagaa kwamba clouds wamevamiwa na mkuu wa mkoa akiwa na askari wanane wenye silaha na kuwapiga vibaya sana licha ya kuwatisha watangazaji. Na hapa ndipo shida inapoanzia  ...ile footage haithibitishi tykio polite la uvamizi.  *Ukiitazama haioneshi ubabe wowote kwenye kuingia ndani studio. RC aliingia kwa kufungua mlango taratibu *Nje walikuwapo walinzi ambao hawakushuhudia nia yoy...

Ukweli Ndio Huu..Watumiaji wa Mitandao na Watanzania Tumelishwa Tango Pori Kuhusu Mtoaji Bastola kwa Nape Pale Protea..!!!

Picha
Najua wengi mtashtuka na wengine kunipinga hadi kunibishia ila kwa ushahidi wa jicho la Tatu na la msaada wa Wataalam wa Saikolojia na Wabobezi waliotukuka kwa Utambuaji wa Mtu / Watu yule Mtu tunayeambiwa kuwa ndiyo alimtolea Bastola Nape Nnauye pale Protea na ambaye picha zake zinasambazwa Mitandaoni siyo Mhusika halisi bali tumedanganywa. Ili kuweza kuamini hili tafadhali hapo hapo ulipo itafute picha ile ya yule wa Protea kisha kwa umakini wako mkubwa kabisa huku ukiwa umetuliza akili zako zote ilinganishe na hizi picha zinazotembea Mitandaoni na utapata jibu. Mbinu iliyotumika hapa ni ya Kijasusi zaidi na ya hali ya juu ambapo kuna Mtanzania mmoja anayeaminika yupo Ughaibuni na hupenda mno kukurupuka kuwalisha matango pori Watanzania na wapo wanaomuamini hivyo kilichofanyika kwakuwa anajulikana kuwa na ' kiherehere ' Watu wenye Kazi zao na waliobobea wakaamua kumtumia picha za Mtu anayeonekana katika Mitandao ili zisambae haraka lakini Mhusika Mkuu ( Mtoaji Bastola ) ak...

Rais Dkt Magufuli aomboleza kifo cha Mbunge wa CHADEMA

Picha

Mahakama Kenya Imeizuia Serikali Kuajiri Madaktari Kutoka Tanzania

Picha
KENYA: Mahakama imeizuia Serikali kuajiri Madaktari kutoka Tanzania kwa sababu ndani ya nchi hiyo kuna Madaktari 1,400 wasioajiriwa. Mpaka sasa takribani watanzania 400 wenye taaluma ya Utabibu wameomba kazi hiyo. Rais Magufuli alikubali ombi la kupeleka Madaktari 500 ili kupunguza uhaba wa Madaktari nchini Kenya kutokana na mgomo unaoendelea nchini humo.

Kimenuka South Africa..Rais Jacob Zuma Afikiria Kujiuzulu

Picha
Kutokana na migogoro inayoendelea South Africa ndani ya chama tawala cha African National Congress (ANC), Rais Jacob Zuma anajifikiria kujiuzulu nafasi hiyo mwakani japokuwa muda wake haujaishia. Nini maoni yako

Dr Slaa Ajitathimni Kurud Nchini.......Adai Upinzani Usipojipanga Unaweza Kufutika 2020

Picha
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambaye kwa sasa anaishi nje ya nchi, Willbrod Slaa amesema anajitathmini kwa kile kilichomfanya aondoke hapa nchini na familia yake kama hakipo aweze kurejea nyumbani. Dkt. Slaa aliamua kuweka pembeni masuala ya siasa baada ya kutofautiana na chama chake juu ya masharti ya kumpokea aliyekuwa mgombea wa Urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa. Amesema kuwa kwa sasa amemaliza masomo yake na baada ya kutafakari na kujitathmini atarejea nyumbani muda wowote. “Ni kweli nimemaliza masomo yangu, bado napima mazingira yaliyonifanya niondoke na familia yangu, baada ya hapo nitaangalia uwezekano wa kurejea nyumbani,” amesema Dkt. Slaa. Aidha, kuhusu mwenendo mzima wa Serikali ya awamu ya Tano, amesema kuwa hakuna nchi hata moja ulimwenguni ambayo Rais wake atakubarika kwa asilimia mia moja, hivyo Rais Magufuli ameonyesha msimamo wa kusimamia kile anachokiamini Hata hivyo, ameongeza kuwa kam...

Breaking: Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA afariki dunia

Picha

Noma Sana..Kichuya,Mavugo na Ajib Watua Kagera Kimafia

Picha
NYOTA saba wa Simba waliokuwa kwenye timu zao za taifa, wametua kininja mjini Bukoba kuungana na wenzao kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Kagera Sugar, Jumapili hii. Wachezaji hao ni mshambuliaji, Laudit Mavugo, aliyekuwa na kikosi cha timu yake ya Taifa ya Burundi, huku wengine Ibrahimu Ajib, Shiza Kichuya, Jonas Mkude, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’, Abdi Banda, Said Ndemla na Muzamiri Yassini, nao wameungana na wenzao baada ya kuiwakilisha Taifa Stars kwenye mechi mbili za kirafiki. Nyota hao baada ya mechi ya juzi ya kirafiki kati ya Tanzania na Burundi ambapo Stars ilishinda mabao 2-1, jana alfajiri waliondoka jijini Dar es Salaam na kutua mjini Bukoba asubuhi na mapema wakitumia ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) na mara baada ya kutua waliungana na wenzao kambini bila hata kupumzika na kwenda moja kwa moja mazoezini kwenye Uwanja wa Taasisi ya Kanisa Katoliki mjini humo. BINGWA limenasa taarifa za ndani kwamba wachezaji hao waliwekwa ...

Kudadeki..Hivi Ndivyo Tundu Lissu Alivyopambana Kisheria Mahakamani Hadi Mbunge wa Chadema Lijualikali Akaachiwa Huru..!!!

Picha
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam jana ilitengua hukumu ya kifungo cha miezi sita jela iliyotolewa na Mahakama ya Wilaya ya Kilombero Januari 11 dhidi ya Mbunge wa jimbo hilo, Peter Lijualikali. Jaji Ama-Isaria Munisi alitengua hukumu hiyo dhidi ya Lijualikali wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) baada ya kukubaliana na warufani kwamba hati ya mashtaka iliyomtia hatiani ilikuwa na upungufu. Lijualikali na dereva wake ambaye alihukumiwa kifungo cha nje waliwakilishwa mahakamani hapo na mawakili Tundu Lissu ambaye ni Rais wa Chama cha Wanasheria (TLS), Fred Kiwelo na Enock Edwin. Upande wa wajibu rufani - Jamhuri - uliwakilishwa na Wakili wa Serikali, Faraja Nchimbi. Adhabu ya dereva wa Lijualikali aliyehukumiwa kifungo cha nje, Stephani Mgatta pia imetenguliwa. “Mahakama hii imeona maelezo ya hati ya mashtaka na vifungu vilivyotumika vina mapungufu na kwamba washtakiwa walishtakiwa pasipo kuwepo na hati ya mashtaka dhidi yao… mahakama hii inawaachia huru was...

Hatarii..Siwema Amvua Nguo Hadharani Nay a Mitego ,Aanika Siri Zake Zote..!!!

Picha
MZAZI mwenziye na Mwanamuziki Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’,  Siwema Hudson amesema kitendo cha serikali kumpa kashikashi kutokana na wimbo wake wa Wapo hakikumshangaza kwani alitarajia hayo yatokee kwa kuwa zilipendwa wake huyo ni mtu wa kukurupuka. Akizungumza na gazeti hili juzi baada ya Nay kutoka polisi, Siwema alisema yeye amekaa na Nay kwa muda mrefu na mara nyingi akiamua jambo ndiyo hivyo wala hakuna mtu anayeweza kumshauri. “Unajua Nay anapenda kukurupuka na wala hataki mtu apinge wazo lake, kama ameamua kufanya kitu anafanya tu na nilifahamu kuwa ipo siku hilo lingemtokea, sasa kama limepita anatakiwa kujitathmini upya,” alisema Siwema

Sakata la Vyeti Feki ..Ikulu Yatupa Mpira kwa Waziri Huyu..Kuhusu Vyeti vya Makonda Amefunguka Haya Mazito..!!!

Picha
WAKATI uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma unakamilika leo, Ikulu imemtwisha mzigo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), George Simbachawene, kuwa ndiye mhusika mkuu wa suala hilo. Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa Machi 20, mwaka huu na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dk. Laurian Ndumbaro, uhakiki wa vyeti vya elimu na taaluma pamoja na namba za mitihani kwa watumishi wa umma ulioanza Machi 12, mwaka jana, utakamilika rasmi leo. Katika tangazo hilo, Dk. Ndumbaro anaeleza kuwa uhakiki huo haujalenga kumkoma mtumishi wa umma bali kuhakikisha kunakuwa na watumishi wenye sifa stahiki na kitaaluma na kitaalamu ili kutoa huduma zilizo bora na kwa weledi kwa wananchi. "Serikali inasisitiza kuwa mtumishi wa umma atakayeshindwa kutumia muda uliotolewa kuwasilisha nakala za vyeti au namba za mitihani kwa wale waliopoteza, atakuwa amejiondoa mwenyewe katika ajira serikalini," linaeleza tangazo ...

Kimenukaa..Zanzibar Wasema Kama Shari na Iwe Shari Tu..Baada ya Kunyanyaswa na Umeme wa Tanesco Waamua Kujibu Mapigo kwa Staili Hii ..!!!

Picha
Siku chache baada ya kuibuka hofu kuwapo kwa uwezekano wa Shirika la Umeme nchini (Tanesco) kuikatia nishati hiyo Zanzibar kutokana na deni inalodaiwa, visiwa hivyo vimepata matumaini ya kuwa na umeme wake wa uhakika.  Matumaini ya Zanzibar kuondokana na tatizo la umeme wa kutegemea sehemu moja yameanza kuonekana baada ya utafiti wa nishati mbadala unaofadhiliwa na Umoja wa Ulaya (EU) kuonyesha uwezekano wa rasilimali hiyo kupatikana bila ya matatizo visiwani hapa. Akizungumza katika ziara iliyofanyika jana kwenye vituo vya utafiti wa uzalishaji umeme wa upepo na nishati ya jua mikoa ya Zanzibar, Meneja wa mradi huo, Munir Shirazi Hassan alisema utafiti ulioanza mwaka 2016 kwa ufadhili wa EU unatarajiwa kukamilika ndani ya miaka miwili na kufuatiwa na ushauri yakinifu kutoka kwa wataalamu.  “Tunasubiri kwa hamu huduma hii ianze kutumika, tunadhani kufanikiwa kwake kutasaidia kushuka kiwango cha matumizi ya umeme kutoka Tanesco kwa zaidi ya asilimia 50 ili kuondokana ...

Imefichukaaa..Hii Ndio Sababu Kuu Amabyo Haisemwi Kuhusu Ujio a Waziri Mkuu wa Ethiopia...!!!

Picha
Waziri Mkuu wa Ethiopia, Hailemariam Dessalegn anatarajia kufanya ziara ya kitaifa ya siku mbili nchini leo, Machi 31 na Aprili 1. Ziara hiyo ni mwaliko wa Rais John Magufuli kwa Dessalegn kufuatia mazungumzo waliyoyafanya huko Addis Ababa, Ethiopia baada ya mkutano wa wakuu wa nchi wa Umoja wa Afrika (AU). Akizungumzia ziara hiyo jana, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Dk Susan Kolimba amesema baada ya kuwasili nchini, Waziri Mkuu huyo atakuwa na mazungumzo ya faragha na Rais Magufuli na baadaye ujumbe wa Ethiopia na Tanzania watakaa pamoja na kuzungumza.  Dk Kolimba amesema viongozi hao watashuhudia utiaji saini mikataba mitatu katika maeneo ya biashara, uwekezaji, utalii na diplomasia.  "Madhumuni ya ziara hiyo ni kukuza uhusiano uliopo baina ya Tanzania na Ethiopia pamoja na kujadili fursa za ushirikiano katika maeneo mbalimbali ikiwemo uwekezaji na biashara," amesema Dk Kolimba.  Siku itakayofuata, Aprili Mosi, Dessalegn atafanya ziara katika bandari ya Dar es Sala...

Hali Mbaya CCM Yawaliza Makatibu Wakuu...!!!

Picha
Viongozi wa CCM mkoa wa Morogoro wamewataka makatibu wa matawi na mashina wa chama hicho kuachana na mpango wa kususia uchaguzi wa viongozi wa ngazi hiyo kwa madai ya kutokulipwa posho za kusimamia Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015. Akizungumza kwa niaba ya wenzake jana, Katibu wa Tawi la Luleni, Kata ya Tomondo, Salumu Waziri alisema kutokana na kudai posho hizo kwa muda mrefu ameamua kususia uchaguzi huo na tayari amekabidhi fomu za wagombea kwenye ofisi ya kata. Waziri alisema chama hicho kilitoa fedha za posho na kumkabidhi kiongozi mmoja wa wilaya ambaye hakuwalipa. Katibu wa CCM Mkoa wa Morogoro, Kulwa Milonge alisema chama hicho kilishatoa fedha za kuwalipa viongozi wa matawi na mashina kupitia kwa katibu wa wilaya hiyo.

Huyu Ndiye Mwakyembe Bwana..Soma Hapa Maneno Aliyompokea Nayo Nay a Mitego Baada ya Kufika Dodoma...Lazima Ucheke Aisee..!!!

Picha
Rapper Nay wa Mitego, Alhamis hii aliitikia wito wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt Harrison Mwakyembe kukutana naye mjini Dodoma kwaajili ya kuzungumza namna ya kuuboresha wimbo wake Wapo ambao licha ya kuikosoa vikali serikali pamoja na Rais Dkt John Magufuli umepokelewa kwa mikono miwili. Hatua hiyo ilikuja baada ya Rais Magufuli kuamuru kuachiwa huru kwa Nay ambaye alikuwa amekamatwa na polisi na wimbo wake kufungiwa na BASATA. Akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma, Dkt Mwakyembe alisema wasanii wana nafasi kubwa katika kuisaidia serikali kukemea mambo maovu. Amewataka vijana kutambua kuwa Tanzania ni nchi inayozingatia utawala wa sheria na kwamba wana uhuru wa kukosoa bila kutukana au kwenda nje ya maadili. “Na ndio maana tukasema kwa wimbo wa Nay hapana, hebu ngoja tuusikie, mbona ni wimbo mzuri tu,” alisema Mwakyembe.

Bajeti ya Kenya ya mwaka 2017/2018 Yasomwa.....Ajira Sekta ya Umma Zasimamishwa

Picha
Bajeti ya Kenya ya mwaka 2017/2018, imesomwa jana kinyume na inavyosomwa kawaida mwezi Juni, kutokana na uchaguzi mkuu utakaofanyika Agosti mwaka huu, huku ikitangaza kusimamisha ajira katika sekta ya umma. Katika bajeti hiyo ya shilingi za Kenya trilioni 2.6 (Takriban shilingi trilioni 52 za Tanzania) Waziri wa Fedha, wa nchi hiyo, Henry Rotich ameondoa kodi kwenye mahindi yanayoagizwa kutoka nje kwa kipindi cha miezi minne ijayo, Aidha kodi imeondolewa kwenye dawa za kuulia wadudu za nchini humo pamoja na magari ya utalii yanayoundwa nchini Kenya. Katika bajeti hiyo ambayo ni ya mwisho kwa serikali ya Jubilee katika muhula wake wa kwanza, serikali imeongeza kodi kwenye kamari hadi 50% kutoka 7.5% ya awali kama njia ya kukomesha uchezaji kamari. Serikali pia imetangaza kusimamisha ajira katika sekta za umma isipokuwa sekta ya elimu kama njia ya kupunguza matumizi. Jumla ya Shilingi bilioni 524.6 za kenya katika bajeti hiyo zitatokana na mikopo kutoka nje na ndani ya nchi. Shili...

Hali ya uchumi: Kampuni nyingine yatangaza kuwafuta kazi wafanyakazi 50

Picha
Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) limeitisha majadiliano kuhusu hali ya uchumi wa nchi inavyokwenda na kupelekea wafanyakazi kwenye makampuni mengi kupoteza ajira zao kutokana na kushindwa kulipwa stahiki zao. Rais wa TUCTA, Tumaini Nyamhokya alisema kuwa watafanya mkutano wa siku mbili na wadau kuhusu hali ya uchumi kujadiliana njia na hatua za kuchukuliwa ili kuzia watu kupoteza ajira zao hasa kwenye sekta binafsi. Wakati hayo yakiendelea, Tanzania Distilleries Limited ambayo ni kampuni tanzu ya Tanzania Breweries Limited imetangaza kupunguza wafanyakazi wake wasiozidi 50 ili kuweza kukabiliana na hali ya kiuchumi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Machi 27 na kampuni hiyo, wale wote watakaoathiriwa na uamuzi huo wataliwa stahiki zao zote.

Waziri Mkuu wa Ethiopia kutua nchini Leo

Picha
Waziri Mkuu wa Ethiopia, Hailemariam Dessalegn anatarajiwa kuwasili nchini kesho, Machi 31 kwa ziara ya kitaifa ya siku mbili kufuatia mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli. Hayo yalisemwa jana  na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano Afrika Masharika, Dkt. Suzan Kolimba alipokuwa Akizungumza na waandishi wa habari. Alisema kuwa ziara ya Waziri Mkuu wa Ethiopia, Dessalegn imetokana na mkutano kati yake na Rais Dkt. Magufuli uliofanyika baada ya mkutano wa kawaida wa 28 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika uliofanyika hivi karibuni huko nchini Ethiopia. Alisema kuwa madhumuni ya ziara hiyo ni pamoja na kukuza mahusiano mazuri yaliyopo baina ya Tanzania na Ethiopia pamoja ‎na kujadili fursa zaidi za ushirikiano katika maeneo mbalimbali ikiwemo uwekezaji na biashara. “Mahusiano ya Tanzania na Ethiopia ni mazuri, Ethiopia imeonesha nia ya kufungua Ubalozi wake hapa nchini hivi karibuni. Kwa sasa Ethiopia i...

Shilole apanga kufanya makubwa kwenye 40 ya mtoto wa Nuh Mziwanda

Picha
Shilole aka Shishi Trump ni mzungu. Amesema hana kinyongo na ex wake Nuh Mziwanda na ndio maana mwaliko wa 40 ya mtoto wa kike wa Nuh na mke wake Nawal ukihusika, ataenda kufanya makubwa. “Mimi sinaga shobo ujue,” muimbaji huyo alikiambia kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio hivi karibuni. “Mimi naenda kwa moyo wangu kwamba ntaenda kama msanii mwenzangu kwamba hongera kwa kupata mtoto vizawadi hivi kama vibeseni, si unajua tena mama yake mkubwa wa zamani lazima naye.. sina tatizo,” aliongeza. Alipoulizwa kwanini hakumpa mtoto Nuh kwenye uhusiano wao, staa huyo alijibu, ‘hatukujaaliwa tu.’ Shilole amesisitiza kuwa bado yupo single kwa sasa.

Rais wa zamani Korea Kusini akamatwa

Picha
 Bi Park amepelekwa kizuizini Seoul Rais wa Korea Kusini aliyeondolewa madarakani wiki chache zilizopita Park Geun-hye amekamatwa na kuzuiliwa kuhusiana na tuhuma za rusha ambazo zilichangia kutimuliwa kwake kutoka madarakani. Park, 65, alisafirishwa kwa gari hadi kwenye kituo cha kuwazuilia watuhumiwa wa uhalifu kusini mwa Seoul baada ya mahakama kuidhinisha kukamatwa kwake. Bi Park anatuhumiwa kumruhusu rafiki yake wa karibu Choi Soon-sil kudai pesa kwa lazima kutoka kwa kampuni kubwakubwa. Bi Park amekanusha madai hayo. Rais huyo wa zamani aliomba radhi kwa umma wiki iliyopita, kabla ya kuhojiwa na maafisa wa mashtaka kwa saa 14. Waendeshaji mashtaka walisema Jumatatu kwamba "wameamua kwamba ni vyema, kwa kufuata sheria na maadili nchini humo, kuomba kibali cha kumkamata". Walisema ushahidi, ambao unapatikana katika diski za kompyuta huenda ungeharibiwa iwapo Bi Park hangekamatwa. Bi Choi amefunguliwa mashtaka ya ulaji rushwa na tayari kesi dhidi yake imeanza. Bi...

Baada ya Rais Zuma kumtimua waziri wa fedha, rand ya Afrika Kusini yashuka kwa kasi

Picha
Fedha ya Afrika Kusini, rand, inaendelea kushuka thamani kwa kasi baada ya Rais Jacob Zuma kumtimua waziri wa fedha mwenye uzoefu mkubwa, Pravin Gordhan. Zuma alitangaza uamuzi huo Alhamis hii kuwa anamuondoa Gordhan pamoja na mawaziri wengine. Wawekezaji walikuwa wameshaanza kuhofia kuwa Zuma angemtimua waziri huyo baada ya Jumatatu kumuamuru asitishe mikutano mingi na wawekezaji wa nje na kurudi nyumbani. Hatua hiyo pia ilikuwa dhoruba kwa rand ambayo sasa imeshuka thamani yake kwa asilimia 8. Wachambuzi walionya mapema wiki hii kuwa kumuondoa Gordhan na mawaziri wengine kungekuwa na madhara. Amekuwa waziri wa fedha kwa kipindi kirefu kuanzia mwaka 2009 hadi 2014 na kurudi tena December 2015. Zuma amteua Malusi Gigaba aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani kushika nafasi hiyo.

Dk Slaa: Mvumilieni Magufuli

Picha
BAADA  ya kuishi nchini Canada kwa zaidi miaka miwili sasa, aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willbrod Slaa amesema anakuna kichwa ili kupima mazingira yaliyomfanya aondoke nchini na familia yake kama yapo au laa. Septemba,2015 wakati wa Uchaguzi Mkuu Dk. Slaa alijiweka kando na siasa, kwa kile alichokieleza kutofautiana na chama chake juu ya masharti ya kumpokea aliyekuwa mgombea urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa),Edward Lowassa. Hata hivyo Dk. Slaa ambaye amekuwa mbunge wa Karatu kwa vipindi vitatu mfululizo, hakuweza kuainisha mazingira yaliyomfanya aondokea nchini na kwenda kuishi ughaibuni. “Sina tabia ya kuyumbishwa…sina chuki na mtu yeyote, sipendi siasa za udanganyifu na propaganda. Nimeachana na siasa tangu Julai 28,2015, baada ya kuona misingi ya chama nilichoshiriki kukijenga imepotoshwa,”alisema Dk. Slaa siku alipotangaza kuachana na siasa. Pamoja na mambo mengine, alisema sharti la kwanza ambalo a...

Nuh afunguka haya baada ya mkewe kujifungua

Picha
BAADA ya hivi karibuni mkewe kujifungua mtoto wa kike aitwaye, An­yagile, msanii wa Bongo Fleva, Naftar Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ amefunguka kuwa, mtoto huyo amempa mzuka zaidi wa ku­fanya muziki. Akipiga stori na Showbiz, Nuh alianza kwa kufafanua maana ya jina la Anyagile kuwa linamaanisha amenikuta baada ya kumpokea, nguvu kubwa anaielekeza kwenye muziki ili apate chochote cha kum­fanya akue. “Nimefurahi sana kupata mtoto wa kike, mke wangu alishakuwa kwenye uhusiano na wanaume wengi lakini haja­wahi hata kuwabebea mimba lakini kwa muda mfupi amenipa­tia kijike. Kilichobaki sasa hivi ni toa ngoma weka ngoma,” alisema Nuh anayebamba na Wimbo wa Anamer­emeta.

Waziri Mkuu aagiza kampuni ambayo Mkandarasi alinyang’anywa ‘passport’ na Rais iondolewe

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali haitavumilia wakandarasi wasio na uwezo na ambao wanapewa kazi lakini wanashindwa kuzimaliza katika muda uliopangwa. Waziri Mkuu ametoa kauli hiyo, jana (Alhamisi, Machi 30, 2017) wakati akizungumza na watumishi wa Halmamshauri ya Chalinze na wale wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira (CHALIWASA) katika ofisi zao, karibu na daraja la mto Wami, wilayani Bagamoyo, mkoani Pwani. Alikuwa ameenda kukagua mradi wa upanuzi wa mtambo wa maji Chalinze na ujenzi wa mfumo wa kusafirisha na kusambaza majisafi pamoja na matenki ya kuhifadhia maji ambao umechukua muda mrefu lakini haujakamilika. Awamu ya kwanza ilianza mwaka Septemba mosi 2001 na kukamilika Desemba mosi 2003. Alimuagiza Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Gerson Lwenge ahakikishe kuwa kazi ya ujenzi wa mradi huo inaimarika na kufikia asilimia 80 la sivyo, wakamilishe taratibu za kukatisha mkataba na kutafuta mkandarasi mwingine. Agizo la Waziri Mkuu linafuatia taarifa aliyopew...

Lady Jaydee kuzindua album ya ‘Woman’ King Solomon Hall, Dar leo

Picha
Lady Jaydee leo atafanya uzinduzi wa album yake mpya na ya saba, Woman. Ametangaza kubadilisha ukumbi wa awali na sasa utafanyika King Solomon Hall. “Naomba kuwafahamisha mabadiliko ya Venue Ijumaa Woman Album Launch Itafanyika ukumbi wa King Solomon Hall , karibu na Best Bite (Ada Estate- Kinondoni) Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu. Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza,” ameandika Jide kwenye Instagram. Album hiyo itakuwa na nyimbo kama Kamoba alioshirikiana na Hamoba wa Zambia, Together Remix akiwa na Spicy, Rosella akiwa na H_Art the Band, Unanichanganya akiwa na Naava wa Uganda na zingine.

Upara wa Chirwa wawa gumzo mitandaoni

Picha
Mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa sasa atakuwa anaonekana tofauti baada ya kupijga upara. Chirwa amepiga upara siku chache kabla ya Yanga kwenda kuivaa Azam FC kwenye Uwanja wa Taifa. Yanga itashuka dimbani kesho Jumamosi kuivaa Azam FC katika mechi kali na Chirwa akitegemewa kuwa kiongozi wa ushambulizi. Baada ya picha yake kuonekana mitandaoni, mashabiki wamekuwa wakijadilikwamba kwa nini Chirwa ameamua kunyoa? Wengine wanaamini anataka kuwatisha Azam FC na wengine wanaamini huenda ni mtindo tu akitaka kuonekana tofauti.

Soma kwa Makini Hii Kitu Itakusaidia...!!!

Picha
HAKUNA anayebisha kwamba ndoa ni jambo la msingi sana katika maisha ya kila binadamu. Aidha, kuoa ama kuolewa ni heshima katika jamii na ndiyo maana leo hii wapo wanaofanya kadiri wawezavyo kuhakikisha wanapata watu wa kuwa nao kama mwili mmoja pale wanapofikia umri wa kufanya hivyo. Kufunga ndoa kuna wakati wake, siyo kwamba pale unapojisikia kufanya hivyo basi ufanye hata kama mazingira, umri na hali yako kimaisha havikuruhusu. Lakini sasa, kibaya ambacho nimekuwa nikikishuhudia katika jamii yetu kila siku ni kwamba wapo ambao huchukulia kuoa ama kuolewa kama ‘fasheni’, hali ambayo huwasababishia kuingia katika matatizo ambayo hawakuyatarajia. Ieleweke kwamba hadi kufikia hatua ya kutamka kwamba unataka kufunga ndoa ni lazima uwe umefanya uchunguzi wa hali ya juu na kuhakikisha kwamba unaingia katika maisha ambayo hutajutia. Suala la kuoana si la kukurupuka, ni lazima kwanza uangalie, je ni kweli unastahili kuoa ama kuolewa kwa wakati huo? Hili ni swali la msingi kujiul...

Hatarii..Maadui wa Paul Makonda Watofautiana..!!!

Picha
Suala LA mkuu Wa mkoa Wa Dar es salaam Paul Makonda limezua sura Mpya baada ya maadui zake wakubwa kutofautiana has a kuhusu uhalali Wa vyeti vyake vya kidato cha NNE. Wiki chache zilizopita adui yke namba moja Mange kimambi aliibuka na kusema Mkuu wa mkoa wa Dar anatmia jina na cheti cha mtu anayejulikana kwa jina la Paul Christian Kagenzi na kuwa alinunua jina hilo baada ya kufeli mtihan Wa kidato cha nne..adui huyo alizidi kusisitiza na kuuaminisha umma kuwa jina halali LA mkuu huyo wa mkoa ni Daud Albert Bashite na ndo jina lake halali alilopewa na wazaz wake ikiwa ni pamoja na kulitumia katika kuitafta elim kabla ya kufel kidato cha NNE. Kutaka kuuaminisha umma Mange alieleza kuwa hilo jina linatumiwa na mtangazaji wa kituo kimojawapo cha redio mjini mkoan Tabora.  Adui mamba mbili Mchungaji Gwajima ,huyu namuita adui namba mbili ,huyu adui Juma takriban nne zilipita alitumia mathabahu take vibaya kwa kueneza chuki na uongo Wa waumin wake ..adui huyu amekaririwa Mara kadhaa ...

Jacob Steven (JB): Sijabarikiwa Kupata Mtoto Mpaka Sasa, Sijawahi Kuwa na Mchepuko..!!!

Picha
Mwigizaji wa bongo movie Jacob Steven JB akihojiwa kwenye kipindi cha kikaangoni amefunguka kuhusu maisha yake na kusema ameoa lakini mpaka sasa hajabarikiwa kupata mtoto lakini ana furaha tele. Amedai pia ameokoka na hana mchepuko katika maisha yake kwa kuwa anaamini kuwa na wanawake wengi kunakuletea mabalaa katika maisha

Imefichuka..Wabunge wa CCM Wapangwa Kumtetea Makonda Bungeni..Mchezo Mzima Utakuwa Hivi..!!!!

Picha
Baada ya taarifa ya Kamati ya Maadili, Haki na Madaraka ya Bunge chini ya mtani na kaka yangu Kepteni Mstaafu George Huruma Mkuchika kukabidhiwa kwa Spika, Spika ataiweka taarifa hiyo katika ratiba za shughuli za Bunge ili iwasilishwe na kujadiliwa. Tayari Mkuchika na Kamati yake wameshakamilisha taarifa yao tayari kuikabidhi kwa Spika, Ndugu Job Justino Ndugai. Taarifa hiyo inatarajiwa kuwasilishwa na kujadiliwa kati ya leo au kesho. Taarifa ya Kamati ya Mkuchika itabeba kilichopatika katika mahojiano na Makonda; maoni na mapendekezo ya Kamati. Makonda (Daudi Albert Bashite) aliitwa kuhojiwa na Bunge kupitia Kamati hiyo kwa kulidharau Bunge kupitia kauli zake za kejeli na kiburi alizozitoa juu ya Bunge na Wabunge. Katika hali ya 'kudhibiti' kauli na mwenendo wa Wabunge wa CCM kuhusu taarifa hiyo, viongozi wa Wabunge wa CCM wameanza kuwapanga Wabunge wa CCM. Kuwapanga huko kunaratibiwa na Katibu wa Wabunge wa CCM, Ndugu Jason Rweikiza. Rweikiza, kwa mujibu wa taarifa toka Do...

Ripoti: Tanzania Yaongoza Afrika kwa Kupokea Wageni Wengi Zaidi kwa Njia ya Anga..!!!

Picha
Tanzania imechangia asilimia 19.3 ya jumla ya wageni wa kimataifa kupitia anga (international air arrivals) ukilinganisha na asilimia 18.2 ya Kenya, asilimia 17.2 Misri na asilimia 12.1 ya Afrika Kusini katika kipindi cha kuanzia September 2016 hadi January 2017. Takwimu hizi ni kwa mujibu wa ripoti mpya ya shirika la ufuatiliaji wa masuala usafiri wa ndege, ForwardKeys ambayo hulinganisha ukataji tiketi za ndege zaidi ya milioni 16 kila siku ili kuiweka Afrika kwenye ramani ya utalii duniani. Kwa jumla, Afrika Mashariki ina asimilia 16.4 ya ufikaji wa wageni kwa njia ya anga. Na kwa ujumla pia, kuna ongezeko la asilimia 10.3 ya ufikaji wageni Afrika

Kimenukaa Clouds Media..Mfanyakazi Asimamishwa Clouds kwa Kutangaza Habari ya Paul Makonda, TEF Yaitaka Mitandao Iunge Mkono..!!!

Picha
Bodi ya Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) imekutana jijini Dar es Salaam leo Machi 30, 2017. Pamoja na mambo mengine imejadili mwenendo wa vyombo vya habari ndani ya wiki moja tangu tulipotoa msimamo wa kutotangaza habari za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Bodi imepitia habari za Mkuu wa Mkoa zilizochapishwa tangu ulipotolewa msimamo wa kumfungia. Bodi inapenda kawapongeza wahariri wote waliotekeleza kwa usahihi msimamo wa kutochapisha habari za Mkuu wa Mkoa kwa wiki nzima. Bodi inapenda kusisitiza kuwa wahariri katika vyombo vya habari; magazeti, radio na televisheni waendelee na msimamo wa kususia habari za Mkuu wa Mkoa, Paul Makonda, hadi atakapotimiza takwa la kuomba radhi kwa tukio la kuvamia kituo cha Clouds. Bodi inatoa wito kwa viongozi wa mitandao ya kijamii kuunga msimamo huu. Bodi inapenda kufafanua kuwa Mhe. Makonda amewekewa vikwazo Maalum (Smart Sanction) kwa mikutano atakayoiandaa au matukio atakayoyaongoza habari zake hatutazichapisha. Bodi inakipongez...

Wafu wamnyima usingizi mkuu wa wilaya Mara

Picha
Watu waliofariki dunia, waliohama na wasiofahamika wilayani Rorya mkoani Mara, wamemchanganya mkuu wa wilaya hiyo Simon Chacha kuendelea kunufaika na mpango wa kunusuru kaya maskini. Mpango huo ambao unaendeshwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf), umebaini wati 112 wasiotakiwa kunufaika nao, lakini walikuwa wakivuna fedha za ruzuku kila zitolewapo. Chacha amesema kuanzia sasa hataki kusikia kwamba kuna watu wa aina hiyo ambao wanatumia jasho lisilowahusu kunufaika nalo na kwamba, hatua kali zitachukuliwa kwa watakaobainika. Mkuu huyo wa wilaya ameyasema hayo wakati wa ziara ya kutembelea kaya maskini katika Kijiji cha Nyabikondo kilichopo Kata ya Kinyeche na Kijiji cha Ryaghati katika Kata ya Nyahongo wakati wa utoaji na upokeaji fedha kwa kipindi cha Machi na April 2017, mwaka huu. Akiwa Kijiji cha Nyabikondo, Chacha alihoji baadhi ya wananchi wanaonufaika na fedha ambapo alibaini baadhi ya majina ya walengwa waliofariki akiwamo Victoria Obimbo ambaye alikuwa akipokea ruzuku ...

Rais Magufuli ateua kamati ya wataalamu kuchunguzi makontena ya madini yanayoshikiliwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 29 Machi, 2017 ameteua kamati ya wataalamu watakaofanya uchunguzi kwa lengo la kubaini kiwango cha madini kilichomo katika makontena yenye mchanga wa madini yanayoshikiliwa katika maeneo mbalimbali hapa nchini. Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa kamati hiyo yenye wajumbe 8, inatakiwa kuanza kazi haraka iwezekanavyo. Wajumbe wa Kamati hiyo ni; Abdulrahman Hamis MrumaJustianian Rwezaura IkingulaJoseph BushweshaigaYusuf NgenyaJoseph Yoweza PhilipAmbrose ItikaMohamed Zengo MakongoroHery Issa Gombela Wajumbe wote wa kamati hii wanatakiwa kufika ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi, Ikulu Jijini Dar es Salaam Ijumaa tarehe 31 Machi, 2017 saa 4:00 asubuhi. Gerson Msigwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU Dar es Salaam 29 Machi, 2017

Mwakyembe: Huwezi Kuwa Hakimu wa Kesi Yako Mwenyewe.....Ripoti ya Uvamizi Clouds Media Inamapungufu, Sitaipeleka Ngazi za Juu

Picha
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe leo amezungumza na waandishi wa habari Mjini Dodoma mara baada ya kukaribishwa rasmi Wizarani hapo.. Baada ya maongezi aliruhusu mwaswali ambapo moja ya swali aliloulizwa na wanahabari ni kuhusu ripoti iliyoachwa na Waziri wa zamani Nape Nnauye kuhusu uchunguzi wa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda kudaiwa kuvamia ofisi za Clouds Media huku akiwa na Askari wenye silaha. ==>Haya ni majibu aliyoyatoa "Wengi mnauliza nimeifanyia kazi gani ripoti ya Nape, mimi hiyo ripoti sijaiona na kama mwanasheria kwangu ni mwiko na sitapeleka taarifa ambayo haijakamilika. "Kupitia vyombo vya habari taarifa imeeleza kuwa ushahidi ulitolewa na upande wa Clouds Media na mkakiri kuwa upande wa pili haukupatikana.   "Huwezi kuwa Hakimu kwenye suala lako wewe mwenyewe, kufanya hivyo ni ubatili kwahiyo hata mimi ningekuwa ni mwandishi wa habari ningesema hili jambo siliwezi kwakuwa linanihusu na mimi. "Ka...

Babu Tale Azidi Kumkaba Koo Waziri wa Utaliii....Auliza Hela ya Wizara ya Matangazo Inaenda Wapi?

Picha
March 26, 2017 kupitia mtandao wa Instagram Meneja wa msanii Diamond Platnumz, Babu Tale aliandika kuhusu Wizara ya Maliasili na Utalii kushindwa kuwatumia watu maarufu nchini kuutangaza utalii wa Tanzania akiwataja mwanasoka Mbwana Samata na mwanamuziki Diamond Platnumz kati ya watu wanaofanya vizuri kimataifa lakini hawapewi dili hizo. Alipotafutwa Waziri wa Maliasili na Utalii Prof. Jumanne Maghembealisema>>Wasanii wetu wenye majina makubwa watangaze tu Tanzania. Tanzania ni nchi yao sio lazima mpaka waambiwe waje tukae pamoja tupange mikakati na tuangalie ni kitu gani anaweza kufanya na watusaidie kutangaza utalii wetu.” Baada ya Babu Tale kusikia majibu ya Waziri Maliasili na Utalii Prof. Jumanne Maghembe ameamua kutumia ukurasa wake wa instagram kuandika anachofikiria au namna alivyomuelewa Waziri. “Duh hapa sijui mimi mshamba au sijamuelewa vizuri Mh Waziri kuhusu kuitangaza Tanz...

Ushauri wa kocha wa Burundi kwa Simba kuhusu Laudit Mavugo

Kocha mkuu wa Burundi Alain Oliver Niyungeko amesema klabu ya Simba inatakiwa kumpa muda zaidi mshambuliaji wao Laudit Mavugo ili wavune mambo mazuri kutoka kwa nyota huyo raia wa Burundi. T MEDIA NEWS ilizungumza na kocha huyo ambaye alikuja nchini kwa kucheza mechi ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya Taifa Stars mechi iliyomalizika kwa Burundi kunyukwa 2-1. “Mavugo ni mshambuliaji mwenye uwezo mkubwa, aliwahi kuwa mfungaji bora kwenye ligi ya Burundi. Hata kwenye timu ya taifa amekua akifanya vizuri pia.” “Unapojiunga na timu mpya kwenye ligi mpya wakati mwingine unahitaji muda ili kuzoea, unapokutana na wachezaji wapya kocha mpya na falsafa mpya wakati mwingine inakua vigumu kufanya vizuri mapema hivyo inabidi upate muda wa kuzoea.” Mavugo alianza kwa kufanya vizuri kwenye mechi za awali baada ya kujiunga na Simba halafu akapotea na akaanza kuwekwa benchi lakini baadae akaibuka tena na kuanza kufanya vizuri na kurudi kwenye kikosi cha kwanza cha kocha Joseph...

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Alhamisi ya March 30

Picha