BAKWATA yawakana Masheikh waliokwenda Kanisani kwa Askofu Gwajima

Jana Jumapili wakati wa ibada katika Kanisa la Ufufu na Uzima lililopo chini ya uongozi wa Askofu Gwajima kulikuwa na wageni mbalimbali ambapo ni pamoja na watu waliodai kuwa ni Masheikh wa dini ya Kiislamu.

Wageni hao walipata muda wa kuzungumza wakati wa ibada. Kufuatia tukio hilo, BAKWATA wametoa tamko na kusema kuwa watu hao hawana uhusiano wowote na taasisi hiyo.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: UTAMU WA MADAM JESCA

Simulizi; MTOTO WA BOSS WANGU

SIMULIZI FUPI: UCHI WANGU UMENIPONZA