SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumatano, 29 Machi 2017

T media news

Kimenukaa..Clouds Tv Wavigeuka Vyombo vya Habari Kuhusu Makonda,Wamsifia na Kumshukuru 'Live' kwa Kuwakarabatia Uwanja ...!!!


Hatimaye Clouds Fm Kupit Kipindi chake cha Clouds Sport Bar Wamekiuka Agizo la Jukwaa la Waharii Nchini kwa Kumsifia Mkuu wa Mkoa wa Dar ,Mhe Paul Makonda.

Katika Kipindi Hiko watangazaji wa clouds tv walimsifu Mhe Makonda kwa jitihada zake za kuuboresha uwanja wa Bandari ambao utatumika kwa michuano ya Ndondo Cup.