Upara wa Chirwa wawa gumzo mitandaoni

Mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa sasa atakuwa anaonekana tofauti baada ya kupijga upara.

Chirwa amepiga upara siku chache kabla ya Yanga kwenda kuivaa Azam FC kwenye Uwanja wa Taifa.

Yanga itashuka dimbani kesho Jumamosi kuivaa Azam FC katika mechi kali na Chirwa akitegemewa kuwa kiongozi wa ushambulizi.

Baada ya picha yake kuonekana mitandaoni, mashabiki wamekuwa wakijadilikwamba kwa nini Chirwa ameamua kunyoa?

Wengine wanaamini anataka kuwatisha Azam FC na wengine wanaamini huenda ni mtindo tu akitaka kuonekana tofauti.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: UTAMU WA MADAM JESCA

Simulizi; MTOTO WA BOSS WANGU

SIMULIZI FUPI: UCHI WANGU UMENIPONZA