Suala LA mkuu Wa mkoa Wa Dar es salaam Paul Makonda limezua sura Mpya baada ya maadui zake wakubwa kutofautiana has a kuhusu uhalali Wa vyeti vyake vya kidato cha NNE. Wiki chache zilizopita adui yke namba moja Mange kimambi aliibuka na kusema Mkuu wa mkoa wa Dar anatmia jina na cheti cha mtu anayejulikana kwa jina la Paul Christian Kagenzi na kuwa alinunua jina hilo baada ya kufeli mtihan Wa kidato cha nne..adui huyo alizidi kusisitiza na kuuaminisha umma kuwa jina halali LA mkuu huyo wa mkoa ni Daud Albert Bashite na ndo jina lake halali alilopewa na wazaz wake ikiwa ni pamoja na kulitumia katika kuitafta elim kabla ya kufel kidato cha NNE. Kutaka kuuaminisha umma Mange alieleza kuwa hilo jina linatumiwa na mtangazaji wa kituo kimojawapo cha redio mjini mkoan Tabora.
Adui mamba mbili Mchungaji Gwajima ,huyu namuita adui namba mbili ,huyu adui Juma takriban nne zilipita alitumia mathabahu take vibaya kwa kueneza chuki na uongo Wa waumin wake ..adui huyu amekaririwa Mara kadhaa akisema mkuu wa mkoa wa Dsm amefoji vyeti na vyeti anavyotumia pamoja na jina ni la mtu aitwaye Paul kagezi Muyenje na kuzidi kukusitiza kuwa yeye anaitwa Daudi Albert Bashite. Bila kujali kuwa alikuwa anatenda dhambi akaendelea kusema kuwa hata namba ya Dada yake na hyo Paul anayo ikiwa ni pamoja na vyeti vya Bashite..
Adui namba tatu Balile (jamhuhuri) huyu nampa hiyo namba kwa kuwa katika gazeti lake la tarehe 21/22 march alieleza zaid ya kurasa Nana kuhusu habari ya Bashite lakin cha kushangaza alitofautiana na maadui wengine kwa kufika Pamba Sekondari na kutokuta jina la Daud Albert Bashite tofuti na adui wa Pili alivyokuwa ametuaminisha kwa kuja na matokeo feki kutoka Pamba.
Lakini pia adui huyu alipomhoji Paul christian alikiri kuwa hana dada na yey alipata division three ya point 25 kama tulivyokuwa tumeaminishwa na mchingaji Gwajima.
Adui wa NNE Mh. Nyepesi huyu namuita adui maana naye amelivalia njuga suala la bashite ikiwa ni pamoja na kutumia mda mwingi kufuatilia suala hilo kuliko suala la wapiga kura wake walikatiwa maji toka juzi. Huyu naye kaenda Nectar hakukuta jina la Bashite wa Paul Makonda.
Tumuamin nan??nawasilisha