SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumatano, 29 Machi 2017

T media news

Zitto:Serekali Inakusanya Pesa ka Ajili ya Kuzitumbua Tu na Si kwa Maendeleo..!!!


Zitto ameyasema hayo mbungeni dodoma,amesema serekali inakusanya hela kwa ajili ya matumizi na sio kwa maendeleo.

Ametolea mfano mpaka sasa maendeleo pekee ni bombadia na reli tu.

Zitto aliulizwa na mwandishi wa ITV tathimini yake juu ya bajeti inayomalizika ya 2016/2017 

Zitto bana,Eti wanakusanyia tumbo badala ya maendeleo ya watu du!