SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumanne, 28 Machi 2017

T media news

Picha 3: Uwanja wa Tevez ulivyoteketea kwa Moto leo

Uwanja wa Hongkou wa klabu ya Ligi Kuu China, Shanghai Shenhua iliyomsajili Carlos Tevez kwa mshahara wa Pauni 615,000 kwa wiki Desemba mwaka jana ukiteketea kwa moto baada ya kuungua kuanzia Saa 2:30 asubuhi ya leo.