WAZIRI MWIGULU NCHEMBA NA MBUNGE JOSEPH HAULE WAPIGA KAZI PAMOJA MIKUMI

Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Mh Mwigulu Nchemba akizungumza mbele ya wakazi wa kata ya Kidodi,kijiji cha Tungu-Mikumi (hawapo pichani),kwenye mkutano wa kusikiliza na kutoa majibu kuhusu wakulima wa Miwa,pichani shoto ni Mbunge wa Mikumi, Mh Joseph Haule

Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Mh Mwigulu Nchemba akizungumza jambo na Mbunge wa Mikumi, Mh Joseph Haule katika Mkutano wa kusikiliza na kutoa majibu kuhusu wakulima wa miwa uliofanyika katika kata ya Kidodi,kijiji cha Tungu-Mikumi .

Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Mh Mwigulu Nchemba akiwa na Mbunge wa Mikumi, Mh Joseph Haule wakifurahia jambo kwa pamoja katika katika Mkutano wa kusikiliza na kutoa majibu kuhusu wakulima wa miwa uliofanyika katika kata ya Kidodi,kijiji cha Tungu-Mikumi .

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: UTAMU WA MADAM JESCA

Simulizi; MTOTO WA BOSS WANGU

SIMULIZI FUPI: UCHI WANGU UMENIPONZA