SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumanne, 1 Machi 2016

T media news

TANZIA Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Mstaafu Dk Jakaya Mrisho Kikwete amefiwa na kaka yake Mzee Seleman Mrisho Kikwete aliyefia huko India alikokwenda kwa Matibabu.

Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Mstaafu Dk Jakaya Mrisho Kikwete amefiwa na kaka yake Mzee Seleman Mrisho Kikwete aliyefia huko India alikokwenda kwa Matibabu.

Tunatoa pole kwa wafiwa na tunaungana na familia ya Jakaya Kikwete katika kipindi hiki Kigumu kwao.

Sisi sote ni wa Mwenyezi Mungu na Kwake Tutarejea.

Innalillahi wainaillaihi rajiun