SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Ijumaa, 11 Machi 2016

T media news

Mh Edward Lowassa Awasili Jijini Mwanza Tayari Kwa Baraza Kuu la Chadema Kesho 12/3/2016


Mh Edward Lowassa akiwasili Hotel ya Gold Crest jijini mwanza

Mh  Hawa Mwaifunga (makamu mwenyekiti baraza la wanawake chadema-bawacha) na Mh Ester Bulaya (Mb-bunda mjini) wakimlaki Waziri Mkuu mstaafu Mh Edward Lowassa