Majibu ya Mkwasa kuhusu kumuita Kazimoto Taifa Stars, wakati ana kesi
Kocha wa Taifa Stars Boniface Mkwasa March 8 katangaza kuita kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania kitakachojiandaa na mchezo dhidi ya Chad ila kamjumuisha na Mwinyi Kazimoto ambaye waandishi walihoji kwa nini kaitwa wakati ana kesi ya kutuhumiwa kumpiga mtu. “Nafikiri kunataratibu, kwanza kwangu mimi hayo ni maisha yake binafsi na huwezi kumuingilia, kwangu
Maoni
Chapisha Maoni