SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumanne, 8 Machi 2016

T media news

Madaktari na wauguzi wa Hospitali Nyamagana wa fanya Mgomo


Sakata la kusimamishwa kazi kwa madaktari wanne na wauguzi watano wa hospitali ya wilaya ya Nyamagana iliyopo Butimba jijini Mwanza kwa tuhuma za uzembe na kusababisha vifo vya mapacha wachanga wakati wa kuzaliwa,hatimaye hii leo limechukua sura mpya baada ya madaktari na wauguzi wote wa hospitali hiyo kugoma kutoa huduma kwa wagonjwa.