Lulu Michael Naye Aitoa Kimaso Maso Tanzania....Ashinda Movie Bora Afrika Mashariki.


Please join me to Salute another Tanzanian hero hapa Lagos Super Star Lulu Michael  kwa kushinda  tuzo ya filamu bora Afrika Mashariki (Best Movie – East Africa) kupitia Mapenzi. Muigizaji huyo alijikuta akilia kwa furaha wakati akishukuru kushinda tuzo hiyo.at 
"2016 AFRICA MAGIC VIEWERS CHOICE AWARDS"  ....SALUTE SISTER NA MUNGU AIBARIKI TANZANIA!

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: UTAMU WA MADAM JESCA

Simulizi; MTOTO WA BOSS WANGU

SIMULIZI FUPI: UCHI WANGU UMENIPONZA