John Legend na mkewe wadai beef ya Kanye na Taylor Swift inawapa wakati mgumu


Mke wa muimbaji wa label ya Kanye West, G.O.O.D. Music, John Legend, amesema beef ya Yeezy na Taylor Swift inawaweka kwenye wakati mgumu.

Akiongea kwenye kipindi cha Watch What Happens Live, Chrissy Teigen amesema beef hiyo haioneshi kuisha.

“It’s tough when you’re put in the middle like that. It’s tough – I didn’t get to see it live, but I don’t know. It’s so awkward. It’s an uncomfortable moment. It’s weird. John and I were very uncomfortable by it. … Well, I’ll tell you. It’s not over. This is going to go on. This is being waged,” alisema.

Hivi karibuni Kanye alimdiss Swift kwenye wimbo wake Famous uliopo kwenye album yake, The Life of Pablo.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: UTAMU WA MADAM JESCA

Simulizi; MTOTO WA BOSS WANGU

SIMULIZI FUPI: UCHI WANGU UMENIPONZA