Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya Petrol, Dizel na ya Mafuta ya taa katika masoko yote ya jumla na rejareja. Bei hizo zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Tarehe 2 Machi. Mkurugenzi wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Felix Ngamlagosi alipata nafasi ya kutoa […]
The post Ewura watangaza bei mpya za Mafuta ya Petroli, Dizeli na mafuta ya Taa appeared first on TZA_MillardAyo.
Visit website