Aliyepanga kukilipua kituo kikuu cha polisi akamatwa Tunisia


Nchini Tunisia mtu mmoja ambaye alipanga kukilipua kituo kikuu cha polisi kilichopo mpakani amekamatwa ikiwa muda mchache kabla ya kufanyikisha kusudio lake.

Hata hivyo jeshi la Tunisia lilifanya msako mkali katika maeneo mbalimbali nchini humo na kuelezea azma yake ya kuimarisha ulinzi katika vituo vya polisi kufuatia mfululizo wa mashambulzi ambayo yamekuwa yakitokea.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: UTAMU WA MADAM JESCA

Simulizi; MTOTO WA BOSS WANGU

SIMULIZI FUPI: UCHI WANGU UMENIPONZA