TBT: Picha za utoto za mchezaji ghali zaidi duniani Paul Pogba


Mtu wangu wa nguvu najua umezoea kuona nikikuletea TBT Picha za mastaa mbalimbali wa soka wanaofanya vizuri katika soka, ila leo Septemba 29 2016 naomba nikusogezee TBT Picha za utoto za mchezaji ghali zaidi duniani Paul Pogba.

Kama humfahamu Paul Pogba ni jamaa ambaye alizaliwa  Lagny-sur-Marne wazazi wake wakiwa wametokea Guinea, katika sokaPogba ana ndugu zake wawili ambao ambao wote wanacheza soka pia, kaka yake Mathias anachezea timu ya taifa yaGuinea.

Paul Pogba muonekano wake wa sasa

Paul Pogba muonekano wake wa sasa

Pogba wa pili kutoka kushoto waliosimama

Pogba wa katikati na kaka zake

Pogba wa kwanza kushoto

Pogba wa kwanza kushoto

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: UTAMU WA MADAM JESCA

Simulizi; MTOTO WA BOSS WANGU

SIMULIZI FUPI: UCHI WANGU UMENIPONZA