SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumanne, 27 Septemba 2016

T media news

BREAKIN NEWZZ!!!:- MBUNGE MTATA WA UKAWA AIONJA JOTO YA JIWE YA MKONO WA SHERIA LEO LIVE!!

TUNDU Lissu, Mwanasheria Mkuu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameshindwa na Jamhuri katika kesi ya kumkashifu JPM iliyokuwa ikimuhusu Dennis Wilson.

Hata hivyo, baada ya mahakama kutupilia mbali shauri la Jamhuri, mshtakiwa (Wilson) alikamatwa tena.
Wilson, mwanachama wa Chadema alishtakiwa na Jamhuri ya Tanzania katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam kwa kuandika maneno ya kuudhi na kutaja jina la JPM katika mtandao wa kijamii.

Source:- Jamiiforums