NIKAJIWEKA katika kundi la warembo wasioshikika baada ya wanaume kadhaa kunisifia kuwa mimi ni mrembo haswa!! Shilingi zao zikazidi kunipanda kichwani na kunifanya niwe na kiburi ambacho sikujua kama ni kiburi hadi mama yangu aliponiweka kitako na kunitamkia wazi kuwa hapendezwi na tabia zangu. Amini! Sikujua kama nimebadilika na kuwa na tabia mbovu, ningeziona vipi kama nilikuwa nazipenda na marafiki wananisifu kila wakati?? Waalimu walikuwa wa kwanza kuniwania, mkuu wa shule akafanikiwa na hatimaye akaitoa bikra yangu nikiwa kidato cha pili tu! Matokeo yangu yakawashangaza wazazi wangu, usiku sisomi lakini matokeo yangu yalikuwa mazuri. Uchi wangu uliyaleta matokeo haya, mkuu wa shule alinipa ahadi hii kuwa nitakuwa nafanya vizuri katika masomo yangu yote. Ilikuwa shule binafsi bila shaka waalimu walitii alichowaamuru. Hatimaye akanijaza mimba, sikujua kama ni mimba hadi dada mkuu aliponivuta kando na kunieleza kuwa nina kila dalili ya mimba. Nikamwendea mkuu wa s...
Maoni
Chapisha Maoni