SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumanne, 27 Septemba 2016

T media news

KATIBU MKUU WA CUF MAALIM SEFU NAYE AJIPANGA KUMJIBU PROFESSOR LIPUMBA SASA HIVI LIVE!!


Wakati Professor Lipumba akiendelea na mkutano maalum na Wanachama wa CUF huku Bara, kule Visiwiani tayari Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Sefu anajiandaa kusimamia kikao cha Baraza Kuu la chama hicho na kumjibu Lipumba.