SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumatano, 28 Septemba 2016

T media news

RAIS Magufuli Natamani Malaika Ashuke na Aifungie Mitandao ya Kijamii

Rais Magufuli, natamani malaika ashuke azime mitandao ya kijamii, irudi baada ya mwaka 1 ikute hatua kubwa za kimaendeleo tulizopiga.

Ameyasema hayo leo wakati wa uzinduzi wa ndege mbili aina ya Bombadier Q400, ambazo zimewasili nchini rasmi kutoka nchini Canada.

Amesema kwenye mitandao ya kijamii watu wengi wanaandika bila kuwa na taarifa sahihi. Amesema, "No research no right to speak"