SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Alhamisi, 28 Aprili 2016

T media news

THE KING OF ALL BONGO SOCIAL MEDIA NETWORK AZIDI KUWACHANGANYA MASHABIKI WAKE AMTAMBULISHA MCHUMBA MPYA TENA LIVE!!


Mfalme wa Social Media Tanzania kama anavyojulikana Le Mutuz Nation, jana usiku muda mchache baada ya kudaiwa kuwa na mchumba anayetarajiwa kumuoa karibuni amewashangaza mashabiki wake nchini kwa kumtangaza Mwanadada huyu Super Rose Mwanasheria maarufu mwenye umri mdogo hapa jijini Dar. Le Mutuz Nation ambaye anafahamika sana kwenye Mitandao yote nchini ukiwemo ule maarufu wa Instagram aliandika hivi jana usiku kwenye Instagram yake "My babe Super Mlawyer Rose, Elimu ndio kila kitu huyu mbebezzz ni Akili Kubwazzz na Mwanasheria na nampenda mpaka naumwazzz" alimalizia Mfalme huyo wa Mitandao Tanzania. Hii sio mara ya kwanza kwa Le Mutuz Nation kuibuka na kiutangaza mchumba na hatimaye kuibuka na mwingine tena na kumtangaza kuwa ndiye anayempenda zaidi.