Daraja Jipya la Kigamboni Limeanza Kutumika Leo..Hizi Hapa Picha

April 16 2016 ni siku ya kwanza kwa wakazi wa kigamboni kuanza kutumia Daraja jipya la kigamboni, kuvuka kutoka upande wa vijibweni kwenda upande wa pili wa kurasini Daraja la kigamboni litafunguliwa rasmi siku ya tareheApril 19 2016 na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John pombe Magufuli






Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: UTAMU WA MADAM JESCA

Simulizi; MTOTO WA BOSS WANGU

SIMULIZI FUPI: UCHI WANGU UMENIPONZA