STORY : MKE MWEMA. SEHUMU YA 4
MTUNZI : SEIF JABU NAMBA : + 258 845018401 wasap. Sehemu ya nne. Like yako ndiyo inafanya hadithi hii ipostiwe hivyo basi like ili iendelee... Hakika niliumia sana kuona yanayo mkuta mama yangu ili hali najua hana kosa lolote. "Halima mama kafanya nini mpaka atukanwe kiasi hicho?" " Alikuwa hayupo aliporudi akaitwa akaambiwa kuwa anatakiwa kuhamia nyumba ya nyuma ile ya chumba kimoja akahoji ataishi vipi na watoto katika chumba kimoja basi ndio wakaanza kumshambulia kwa maneno mpaka sasa." " Bibi yupo?" " Yupo na amenyamanza kimya." Nilijuliza tunateswaje ndani ya nyumba ya bibi yetu ili anajua sisi hatuna ndugu zaidi yake hapa mwanza. Nilitoka nikamuangalia mama yangu anavyo sukumwa huku akitukanwa nikaumia sana nikamfuta nikamshika mkono kisha nikatoa sauti kama kiume nikawauliza. " Mnahitaji nini kwa mama yangu mpaka mumshambulie?" "Ahame humu ahamie chumba cha nyuma." " Kafanya ko...