BREAKING: CHADEMA yajitoa Kwenye Uchaguzi wa Madiwani Katika Kata Tano

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuondoa Wagombea wake wa udiwani katika kata tano wilayani Arumeru mkoani Arusha.


Taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Mhe. Freeman Mbowe kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema kuwa uamuzi huo umekuja baada ya Mawakala na Wagombea kutekwa na kushambuliwa kwenye vituo vya kupigia kura.

“Tumeagiza wagombea, mawakala na viongozi wetu wote wajitoe kwenye mchakato wa kata 5 za Arumeru Mashariki Kuna utekajinyara, mashambulizi, ubabe na ushenzi Wananchi wanaonewa sana Wagombea na viongozi wanatekwa, mawakala wanaondolewa vituoni, kura zinapigwa pasipokuwepo

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: UTAMU WA MADAM JESCA

Simulizi; MTOTO WA BOSS WANGU

SIMULIZI FUPI: UCHI WANGU UMENIPONZA