DAR: Aliyekuwa mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila amejiunga na CCM leo

DAR: Aliyekuwa mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila amejiunga na CCM leo baada ya kujiondoa CHADEMA siku chache zilizopita.

- Amekabidhiwa kadi na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole kwenye kampeni za Udiwani huko Mbweni.

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: UTAMU WA MADAM JESCA

Simulizi; MTOTO WA BOSS WANGU

SIMULIZI FUPI: UCHI WANGU UMENIPONZA