Dunia inashangaa walibya leo kuuzwa kama( Bidha) watumwa ,Naona watu wanavyo jitokeza kulaani , Hawa wanao jitokeza leo , hawakujitokeza wakati kiongozi wa Libya anaondolewa madarakani kijeshi ( wanafiki) na huenda ndio hao hao walio kuwa wakichochea vijana hawa hawa wanao uzwa leo wafanya vurugu na kuwapa siraha Tripoli . Tunauliza wako wapi walio iita ile ni Demokrasia kwa kiwango kikubwa?( kimya) wako wapi walio uita ni mbadilishano wa Utawala ( Kimya) . Mimi nauita ni UZWAZWA .
Lakini katika hili la Libya nasema Obama alaumiwe na kila Mwana Africa anayeguswa na hili , alikubali kutuuza ndugu zake ,Obama alisaliti asili yake na asili ya wazazi wake na hayo ndo matokeo yake . Obama have something to pay for this Africa and Libya!
Alikuwa na Nafasi kubwa ya kuyaona haya ,alikuwa na nafasi kubwa ya kuyazuia haya .
Wako wapi WANA UMAJUI wa Africa ( PAN AFRICAN) buriani Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere , Burian Nkwame Nkuruma tunawezaje kuruhusu hali hii iendelee? Tunawezaje kulala utumwa Ukirudi Africa? That business of slaving our African people must to STOP
Lazima tujitahidi kama vijana wa kiafrica kusimama kwa p1 na kusimamisha aya yanayoendelea Libya sisi kwa umoja wetu tunaeza kupiga kelele na Africa ikasikiaI
SAY NO TO SLAVERY IN LIBYA BLACK IS NOT FOR SALE.