Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Julai, 2016

MO Kukabidhiwa Simba SC Hali Bado Tete

Picha
Rais wa Simba SC, Evans Aveva akizungumza na wanachama wa timu hiyo leo wakati wa mkutano mkuu. Eneo la mkutano mkuu wa Simba Ukumbi wa Bwalo la Maofisa wa Polisi, Oyesterbay jijini Dar. SIKU chache baada ya mfanyabiashara Mohamed Dewji ‘MO’ kutangaza kuwa yupo tayari kutoa kitita cha Sh bilioni 20 kuwekeza katika Klabu ya Simba ili ipate mafanikio, mpango wake huo unaonekana kutaka kugonga mwamba. Baada ya mkutano mkuu wa klabu hiyo uliofanyika leo katika Ukumbi wa Bwalo la Maofisa wa Polisi, Oyesterbay, ambao ulikuwa na ajenda 10, moja kati ya ajenda hizo ilikuwa ikizungumzia taarifa ya kamati ya maboresho ya mfumo wa uendeshaji wa klabu hiyo. Katika ajenda hiyo ndipo lilipojitokeza suala zima la MO ambapo wanachana hao wa Simba zaidi ya 700 waliojitokeza kwenye mkutano huo walitaka bilionea huyo apewe timu hiyo kutokana na hali mbaya ya kiuchumi iliyopo klabu hapo ambapo imekuwa ikijiendesha kwa hasara kila mwaka. Katika msimu wa 2014/15 klabu hiyo ilifanikiwa kujik...

BREAKING NEWS: RAIS MAGUFULI AAMURU WANANCHI KUPEWA MADINI BURE,ATOA WIKI 3 KILA MTU AWE AMEPATA..!!

Picha
Katika kile kinachoonekana kama maamuzi magumu zaidi kuwahi kufanywa na Rais Dr Magufuli,ni pamoja na kuagiza wananchi kugawiwa bure madini kutoka katika mgodi wa  GGM. Rais Magufuli ametoa amri hiyo leo hii akiwa katika ziara zake katika mikoa ya tabora,shinyanga,na Geita,ambapo ameiagiza waizara ya nishati na madini kuhakikisha wananchi wanapata mawe ya madini hayo kwa ajili ya kuinua hali zao za maisha.

BREAKING NEWS: LOWASSA ATOFAUTIANA NA CHADEMA,AMPA BIG UP RAIS MAGUFULI

Picha
KWA mara ya kwanza,mara baada ya uchaguzi mkuu kuisha mwaka jana ,Aliyekuwa Mgombea Urais wa CHADEMA,Edward Lowassa leo hii amefunguka na kukiri juu ya uwezo wa JPM katika kutenda kazi. Lowassa ambaye leo asubuhi alikuwa katika mahojiano katika chombo kimoja cha Luninga,alisikika akimsifia Dr Magufuli huku akidai kuwa kama angelikuwa ni yeye ndio Rais angefanya zaidi ya JPM. Hii inakuwa ni sawa na kwenda kinyume na Chama chake ambapo mara kadhaa wamekuwa wakiuponda utawala wa Rais Magufuli huku wengine wakimuita dikteta

RAIS DKT. MAGUFULI AFANYA MKUTANO TINDE, ISAKA NA KAHAMA MKOANI SHINYANGA

Picha
Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia mamia wa wakazi wa Kahama mara baada ya kuwasili akitokea Nzega mkoa Tabora. Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli akicheza jukwaani wimbo wa kwaya ya Haleluya Kuu kutoka Kanisa la KKKT-Usharika wa Yeru Ndala Shinyanga kabla ya Kuhutubia mamia ya wakazi Kahama mkoani Shinyanga. Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mbunge wa zamani wa Kahama James Lembeli mara baada ya kuwasalimia wananchi waliofika kwa ajili ya kumsikiliza Rais katika viwanja hivyo vya Kahama. Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia mamia wa wakazi wa Isaka mkoani Shinyanga. Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameambatana na Mbunge wa zamani wa Kahama James Lembeli ambaye ni mwanachama wa Chadema mara baada ya kumaliza kuhutubia mkutano mjini Kahama mkoani Shinyanga. Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli akicheza pamoja na Wanakwaya wa Halelu...

TANGAZO: EQUITY BANK AGENT BUNDA

Picha
TAWFIQ MONEY SERVICE: WAKALA PEKEE WA EQUITY BANK BUNDA TUNATOA HUDUMA ZIFATAZO: -KUFUNGUA  A/C -KUWEKA PESA -KUTOA     PESA  -KUTUMA  PESA -KULIPIA ADA ZA SHULE -KULIPIA MALIPO MBALIBALI YA SEREKALI. KUWEKA PESA NA KUTUMA NI BURE KABISA. SIMU NAMBA 0784699901,0756141420.            

TANGAZO: TAWFIQ MONEY SERVICE WAKALA WA NMB BUNDA

Picha
TAWFIQ MONEY SERVICE WAKALA WA NMB BUNDA ANAPATIKANA BARABARA YA BOMANI MKABALA NA STENDI YA ZAMANI TUNATOA HUDUMA ZIFATAZO: -KUWEKA PESA -KUTOA     PESA  -KUTUMA  PESA -KULIPIA ADA ZA SHULE -KULIPIA MALIPO MBALIBALI YA SEREKALI. KUWEKA PESA NA KUTUMA NI BURE KABISA. SIMU NAMBA 0784699901,0756141420.            

RAIS MAGUFULI ASEMA WANAOPINGA SERIKALI YANGU NI MAWAKALA WA SHETANI

Picha
Kaa ufikirie je wewe ni wakala wa Shetani au unamuunga Mkono Dr Magufuli katika kuijenga Tanzania Mpya yenye Uchumi wa Viwanda na Hofu ya Mungu. Aidha leo anaendelea na Ziara itakayokuwa na HOTUBA Kali na kusisimua na zenye kuonesha njia ya kutekeleza ilani na kujenga TANZANIA YETU MPYA YENYE MAENDELEO, Rais ataongea na wananchi Misigiri na Shelui Singida na kisha ataingia mkoani Tabora ambapo atafanya Mikutano mikubwa ya hadhara Igunga na Nzega. Hapa kazi tu muda wa kubembelezana umekwisha. Update: Mawakala wa shetani ni kama Mafisadi, wakwepa kodi, wazembe, wavivu, wasiofanya kazi, wakosoaji wa hovyo, wabadhirifu, wasusia vikao vya bunge etc na mashetani lazima waangamizwe kwa moto

TAZAMA PICHA JINSI LOWASSA ALIVYO ZUILIWA KUINGIA POLISI AKIWA NA MBOWE LEO HII

Picha
LOWASSA AKIZUILIWA KUINGIA GARI LA LOWASSA LIKIONDOKA AKIMUACHA MBOWE KWA AJILI YA MAHOJIANO NA POLISI LOWASSA AKIONDOKA GARI LA LOWASSA LIKIONDOKA MBOWE AKIWASILI KITUONI KWA KUHOJIWA NA POLISI

BREAKING NEWS:MH;FREEMAN MBOWE AJIPELEKA POLISI LEO

Picha
Mwenyekiti wa Chama Taifa wa CHADEMA Freeman Mbowe akiongozana na baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu, Edward Lowassa, John  Mnyika, Mkiti wa Baraza la Wazee Hashimu Issa Juma na  Mwanasheria Mkuu wa Chama Tundu Lissu,  wakiwasili  Kituo Kikuu cha Polisi (Central) Kanda Maalum ya Dar es Salaam, ambapo Mwenyekiti Mbowe ameitikia wito wa jeshi hilo kupitia wa ZCO Wambura wa kumhitaji afike hapo leo.

LOWASSA AHOJIWA NA TIDO MHANDO ASUBUHI HII…ASEMA 2020 LAZIMA ATASHINDA URAIS

Picha
WAZIRI MKUU ALIYE JIUZURU EDWARD LOWASA LEO HII AMEHOJIWA NA MTANGAZAJI TIDO MHANDO KATIKA KITUO CHA TV CHA AZAM NA KUWEZA KUJIBU MASWALI MBALIMBALI YA KISIASA IKIWAMO YA KWAMBA YE ANAONAJE UCHAGUZI UJAO WA MWAKA 2020 ….AKIJIBU KWA KUJIAMINI AMESEMA ANAUHAKIKA KABISA UCHAGUZI HUO ATASHINDA KUTOKANA NA JINSI ALIVYO JIPANGA.

Lowassa afunguka mengi Leo....Adai hakuna mwenye hati miliki Ya Nchi

Picha
Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Edward Lowasa amemtaka Rais John Magufuli kuwa na utamaduni wa kufanya mazungumzo na wanasiasa wenzake ili kufikia muafaka wa mambo mbali mbali ya kisiasa nchini. Lowasa ameyasema hayo leo wakati wa mahojiano na Tido Mhando kupitia kipindi cha Funguka kinachorushwa na Televisheni  ya Azam. Lowasa amesema kuwa siasa ni mazungumzo na siyo kutoa tu amri kama anavyofanya Rais Magufuli. Kadhalika Lowassa amesema kila mtu ana wajibu wa kuheshimu amani ya nchi na hakuna mtu mwenye hati miliki ya nchi hii. “Serikali haipaswi kuwa na ghadhabu, inapaswa kuwa na tabia ya kuzungumza. Sisi sote ni Watanzania kwa nini tunaogopa kuzungumza. Mazungumzo ndiyo njia bora ya kufikia maridhiano. Pia Rais Magufuli aitazame Zanzibar, tunasikia watu wanashughulikiwa kwa njia mbalimbali, wanakamatwa, hivyo hawezi kuikwepa Zanzibar kwani hilo ni suala lake.”  alisema Lowassa. Amesema CHADEMA ipo sahihi kutangaza operesheni ...

Lowassa Uso Kwa Uso na Nape Nnauye Wakati wa Kuaga Mwili wa Mwandishi wa Tanzania Daima

Picha
Aliyekuwa mgombea urais kupitia Chadema na Ukawa, Edward Lowassa amekutana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Mnauye leo katika jumuiko la kuuaga mwili wa aliyekuwa Mpigapicha wa Tanzania Daima, Joseph Senga.  Mwili wa Joseph Senga (58) umesafirishwa leo kwenda nyumbani kwao, Shushi-Nyambichi, Kwimba mkoani Mwanza kwa ajili ya maziko hapo kesho. Akizungumza wakati wa kuuga mwili wa marehemu Dar es Salaam mapema leo, msemaji wa familia, Charles Kapama amesema maziko yatafanyika kesho saa nane mchana baada ya mwili kuwasili kijijini. Viongozi mbalimbali walijumuika na ndugu, jamaa na marafiki wa familia hiyo kuuga mwili wa marehemu Senga ambaye alifariki dunia Julai 27 katika hispitali ya BLK, New Dehli India alikokwenda kupatiwa matibabu, katika uwanja wa mpira uliojirani na nyumbani kwake, Sinza jijini hapa. Viongozi hao ni pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye, Mwenyekiti wa Chadema,...

SAMATTA UWANJANI LEO LIGI KUU UBELGIJI

Picha
Mbwana Samatta leo anatarajiwa kuonekana tena katika nyasi za Ulaya pale timu yake ya Genk itakapovaana na KV Oostende katika muendelezo wa mechi za ufunguzi katika Ligi Kuu ya Ubelgiji maarufu kama Jupiler Pro League. Mchezo ambao utachezwa kunako dimba la Cristal Arena, nyumbani kwa Genk utaanza saa 1 kamili za usiku kwa majira ya Tanzania na Afrika Afrika Mashariki kwa ujumla. Ikumbukwe tu, huu ndio msimu ambao Samatta anaanza kuanzia mwanzo mara baada ya msimu uliopita kuukuta mwishoni kufuatia ksajiliwa katika dirisha dogo akitokea TP Mazembe ya DRC. Samatta, akiwa kama miongoni mwa washambuliaji tegemezi tayari alibainisha dhamira yake tangu mwanzo kwamba anataka kucheza Ligi ya Mabingwa msimu ujao, hivyo ni jukumu lake sasa kuhakikisha msimu huu timu yake inafanya vizuri ili kukamilisha ndoto zake. Msimu uliopita, Samatta aliwafunga Oostende katika mchezo wa raundi ya pili ya ligi waliyokutana, hivyo kumbukumbu hii ni morali tosha ya kuhakikisha anaisaidi...

MTOTO WA MIAKA 11 ALIPO ONYESHA USHUJAA WA AJABU SIKU CHACHE KABLA YA KIFO CHAKE SOMA HAPA LIVE!!

Picha
"Mwili kwenye toroli la wagonjwa uliozungukwa na madaktari ni wa mtoto mwenye umri wa miaka 11 aitwae Liang Yaoyi tokea China. Utaelewa kwanini madaktari wameuzunguka kama wakiusudujia.Liang alikuwa na ndoto za kuwa daktari atakapokua mkubwa, bahati mbaya ndoto yake haijaweza kutimia kwani alifariki kwa ugonjwa uitwao kitaalamu "Brain Tumor". Ila kinachoshangaza ni kile alichowaambia wazaz wake kabla hajafariki, kwamba kama hatopona na kufariki viungo vyake "organs" i.e heart transplant, vitolewe na kupewa wale wenye uhitaji ili wapate kuishi. Alisema wapo watu wengi wamefanya mambo mema na mazuri duniani na yeye anataka kuwa mmojawapo.Madaktari wanasema walishangazwa na ujasiri wa Liang, katika taaluma yao ya utabibu hawajawahi kukutana na hali kama hiyo. Kwanini wasitoe heshima inayomstahili? Katika picha ni madaktari wakionesha heshima zao za mwisho kwa mwili wa Liang kabla ya kumpeleka chumba cha upasuaji ili kumuondoa baadhi ya viungo kama alivodai yeye...

MTAMBUE KIJANA WA KITANZANIA DESMOND ANDREW ALIYEANZISHA KAMPUNI YA MAWASILIANO YA CW NET

Picha
Kijana wa Kitanzania Desmond Andrew ameanzisha kampuni ya Mawasiliano ya CW Net ambayo inatengeneza Power Bank, Smart Bracelet na Modem. Hakika Tanzania kuna vijana wengi kama Desmond Andrew lakini tatizo kubwa linalowakabili ni upatikanaji wa mtaji wa kuendeleaza vipaji vyao. Mwanzilishi na mmiliki wa Kampuni ya Mawasiliano ya CW Net akimtoa ufafanuzi Mkurugenzi Mtendaji wa TPSF, Geoffrey Simbeye (aliyevaa suti) kuhusu Smart Bracelet na kazi zake katika maonesho yaliyoandaliwa na shirika la Viwango nchini Tanzania(TBS) yanayoendelea katika ukumbi wa Mlimani Cityjijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa TPSF, Geoffrey Simbeye (aliyevaa suti) akiuliza swali mara alipotembelea banda la CW Net maonesho ya Makampuni ya Kitanzania yanayotoa bidhaa yenye viwango vya kutosha hapa nchini. Smart Bracelet hiki ni kifaa mojawapo kinachotengenezwa na kampuni ya Mawasiliano ya CW Net ambacho kifaa hicho kinahesabu hatua ambazo mtu ametembea nani kwa kiasi gani nguvu uliyoitumia pamoja na ...

JPM AKOSHWA NA DC WA IGUNGA JOHN MWAIPOPO, AAMURU STENDI YA BASI NA SOKO VIANZE KAZI JUMATATU

Picha
 Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Igunga Mhe John Mwaipopo akielezea changamoto za Stendi ya Mbasi ya abiria na Soko jipya zinazoikabiri wilaya hiyo wakati wa mkutano wake wa hadhara mjini Igunga leo Jumamosi Julai 30, 2016. Mkuu huyo wa wilaya ambaye ana mwezi mmoja toka aanze kazi alimweleza Rais kwamba kuanza kwa stendi ya basi kunasubiri kibali kutoka SUMATRA na kwamba soko jipya ambalo limeshamalizika kujengwa halitumiki kwa sababu ya mkanganyiko unaohusu badhi ya wafanyabishara kuhodhi sehemu kubwa ya soko jipya na kutolitumia huku wakiendelea kufanya bishara kwenye soko la zamani ambako nako pia wana sehemu za Biashara.   Rais  Dkt Magufuli akiendelea kumsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Igunga Mhe John Mwaipopo wakati akielezea changamoto za Stendi ya Mbasi ya abiria na Soko jipya zinazoikabili wilaya hiyo wakati wa mkutano wake wa hadhara mjini Igunga leo Jumamosi Julai 30, 2016   Mkuu wa Wilaya ya Igunga Mhe John Mwaipo...

Mahafali ya KKKT Chuo Kikuu Muhimbili Yapigwa Marufuku Baada ya Wanafunzi Hao Kumwalika Lowassa Kuwa Mgeni Rasmi

Picha
Uongozi wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS)umezuia mahafali ya wanafunzi  waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT ) yaliyokuwa yamepangwa kufanyika jana mchana chuoni hapo jijini Dar es Salaam, ambapo Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa alikuwa amealikwa na wanafunzi kama mgeni rasmi. Mahafali hayo yalizuiwa jana saa 6 mchana ikiwa ni saa mbili kabla ya muda kuanza Tangazo lililobandikwa chuoni hapo na kushuhudiwa na wanahabari likiwa linamnukuu Kaimu Naibu Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Profesa Apollinary Kamuhabwa liliwataka wanafunzi hao kutoweka mikusanyiko ya aina yoyote chuoni hapo. Profesa Kamuhabwa kupitia tangazo hilo aliwaonya wanafunzi hao kutojihusisha na masuala ya siasa wawapo chuoni kama ilivyo kwa watumishi wa umma. Jitihada za waandishi wa habari kuzungumza na uongozi wa chuo hicho ili kupata ufafanuzi ziligonga mwamba baada ya kuelezwa kuwa hawakualika mkutano na waandishi wa habari.

Mtuhumiwa wa Mauaji Jijini Mwanza Auawa akijaribu Kutoroka

Picha
MTUHUMIWA wa ujambazi Msafiri Suleiman maarufu kama Juma Msukuma ameuawa wakati akijaribu kuwatoroka Polisi. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi alisema jana kuwa tukio hilo lilitokea Julai 28 mwaka huu majira ya saa 10.30 jioni katika eneo la Igoma kata ya Igoma jijini Mwanza. Kamanda Msangi alisema mtuhumiwa siku hiyo alikuwa amekamatwa na Polisi akituhumiwa kufanya matukio ya unyang’anyi wa kutumia silaha akishirikiana na wenzake watatu. Aliwataja watu hao aliokuwa akishirikiana nao ambao kwa sasa wamekamatwa na polisi kuwa ni Jackson Magesa ( Nyakibimbi), Samwel Mwita na Boniphace Nyamhanga. Kamanda alisema baada ya mahojiano na polisi mtuhumiwa alikiri kuhusika na uhalifu na akakubali kwenda kuwaonesha askari sehemu aliyoficha silaha maeneo ya Buhongwa mlimani. Alisema walipofika eneo husika aliwaonesha mkasi mkubwa wa kukatia vyuma na kipande cha nondo, huku akiwathibitishia kuwa silaha alikuwa ameichimbia ardhini katika eneo hilo. “Wakati askari w...

RIWAYA: Mwanafunzi Mchawi - (A Wizard Student) - Sehemu ya 22 & 23

Picha
MTUNZI: ENEA FAIDY .....MR ALLOYCE alishtuka sana baada ya kusikia kishindo kalikali nyuma yake. Aliachia chupa ya konyagi kisha akageuka haraka kutazama nini kinaendelea nyuma yake. Hakuamini kumuona mwanaye akiwa amejibwaga chini kama gunia la viazi. Alikuwa anathema kupita maelezo. "Eddy!" Mr Aloyce aliita kwa mshangao mkubwa. Lakini Eddy hakuitikia zaidi ya kuendelea kuhema kwa nguvu.Mr Alloyce alitupa chini vidonge alivyokuwa amevishika, akamwinamia Mwanaye na kumgusa kifuani ili kusikiliza mapigo ya moyo. Aligundua kuwa mwanaye ni mzima alimsgukuru Mungu. Killed home hang a za Mr Alloyce ni kwamba pindi anarudi sebuleni pale, hakukuta mtu yeyote na wala hakusikia mtu akifungua mlango. "Ba...ba..!" Aliita Eddy kwa shida sana. "Sema mwanangu...Mimi hapa" aliitikia Mr Aloyce. "Usife. .!" "Sifi nani kasema Mimi nakufa? Vipi lakini uko sawa?" Aliuliza mr Alloyce akiwa na hofu sana, alihofia kumpoteza mwanaye kipenzi. Eddy aliiti...

DIAMOND PLATINUMS KUTOKA NA HAMISA MOBETO MAPYA YAIBUKA,PICHA NYINGINE ZAVUJA,ZAZUA UTATA MKUBWA,ZARI THE BOSS LADY NAYE YUMO

Picha
Gossip Diamond Platnumz accused of sleeping with hamisa and zari at the same room in South Africa, this gossip has made headline Today after this photo been discovered. as you see by yourself, same location and same room, as you know that few weeks ago Diamond Platnumz was accused of dating Hamisa Mobeto. But Diamond Platnumz refuse that accusation and show the public that he loves her wife too much, but see it by yourself the above photo, the left photo is Hamisa Mobeto taking selfie in the room, where later Zari and diamond slept. what is your opinion on this.

Chadema Kanda ya Ziwa Watangaza Maandamano hadi Nyumbani kwa Rais Magufuli ( Chato )

Picha
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Ziwa kimetangaza kufanya maandamano katika kanda hiyo huku wakidai kuyafungia katika mji wa Chato ambao ni nyumbani kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli. Tamko la Chadema limetolewa na Katibu Mkuu wa chama hicho Kanda ya Ziwa Magharibi, Meshack Micus alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jana ofisini kwake. “Sisi kama Chadema kanda ya Ziwa hasa kanda ya Victoria tayari tumeshawaelekeza wanachama wetu wote, viongozi wetu wote na tayari mwitikio ni mzuri. Na hadi leo tayari viongozi wetu wa vitongoji 1973 wameshajiandaa wako tayari kwa ajili ya kufanya maandamano na kufanya mikutano ya hadhara katika maeneo yao,” alisema. “Tutaandaa maandamano kutokea Kyelwa, tutaelekea Misenyo, Bukoba vijijini na tutakuja moja kwa moja mpaka Chato. Na wa Mwanza tayari nimeshawaagiza kwamba maandamano yetu tunaenda kuyafungia Chato,” aliongeza. Tamko hilo limekuja ikiwa ni siku moja baada y...

PROGRAMU YA KAMPENI YA MAMA HILLARY CLINTON YADUKULIWA

Picha
Maafisa wa upelelezi nchini Marekani wamesema kuwa programu ya komputa inayotumiwa na jopo linalosimamia kampeni ya Bi Hillary Clinton imedukuliwa.Mameneja wanaosimamia kampeni ya Bi Clinton walisema kuwa wadukuzi hao wameingilia mawasiliano katika kompyuta hiyo.Awali kamati ya jopo hilo inayosimamia ukusanyaji pesa za kampeni ilisema kuwa mawasiliano yake yalikuwa yamedukuliwa.Vyombo vya habari Marekani vinasema kuwa udukuzi huo huenda unahusika na shughuli za upelelezi za Urusi. Shirika la upelelezi la Marekani la FBI nalo linasema kuwa linaendelea na uchunguzi kuona iwapo makundi mengi zaidi yanaendesha udukuzi huo dhidi ya kompyuta za chama cha Democratic. Juma lililopita mtandao wa kufichua habari za siri wa Wikileaks, unaodhaniwa kuwa na uhusiano mkubwa na Urusi ulifichua barua pepe nyingi kuhusiana na chama cha Democratic.