BREAKING NEWS: RAIS MAGUFULI APANGA KUIPIGA BEI IKULU BAADA YA KUHAMIA DODOMA,ZAID SOMA HAPA


LEO hii Rais Dr John Magufuli amewafanya waTZ wabaki vinywa wazi pale aliposema kuwa akiafnikisha zoezi la kuhamia DODOMA atapiga bei majengo yote ya Serikali .

Akizungumza katika ziara zake kikazi katika mkoa wa Singida,Rais JPM amesema kuwa atahakikaisha anayauza majengo yote ya Serikali ambayo yatabaki jijini DSM.


Rais Magufuli: Nikihamia Dodoma mimi, majengo yote ya Serikali yaliyoko jijini Dar nitayapiga mnada#JFLeopic.twitter.com/HtrXrANMqU

— Jamii Forums (@JamiiForums)July 29, 2016


Visit website

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: UTAMU WA MADAM JESCA

Simulizi; MTOTO WA BOSS WANGU

SIMULIZI FUPI: UCHI WANGU UMENIPONZA