SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Ijumaa, 29 Julai 2016

T media news

MAKAMU WA RAIS AMJULIA HALI SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan  akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Ndugai alipofika kumsabai nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam. Spika amerejea nchini hivi karibuni kutoka nchini India ambapo alikwenda kwa ajilia ya uchunguzi pamoja  na matibabu ya Afya yake.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Ndugai pamoja na Mke wa Spika Dkt. Fatma Mganga (kulia) alipofika kumsabai nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam. Spika amerejea nchini hivi karibuni kutoka nchini India ambapo alikwenda kwa ajili ya uchunguzi pamoja  na matibabu ya Afya yake.

(Picha na Ofisi ya Bunge)