Kaa ufikirie je wewe ni wakala wa Shetani au unamuunga Mkono Dr Magufuli katika kuijenga Tanzania Mpya yenye Uchumi wa Viwanda na Hofu ya Mungu.
Aidha leo anaendelea na Ziara itakayokuwa na HOTUBA Kali na kusisimua na zenye kuonesha njia ya kutekeleza ilani na kujenga TANZANIA YETU MPYA YENYE MAENDELEO, Rais ataongea na wananchi Misigiri na Shelui Singida na kisha ataingia mkoani Tabora ambapo atafanya Mikutano mikubwa ya hadhara Igunga na Nzega. Hapa kazi tu muda wa kubembelezana umekwisha.
Update:
Mawakala wa shetani ni kama
Mafisadi, wakwepa kodi, wazembe, wavivu, wasiofanya kazi, wakosoaji wa hovyo, wabadhirifu, wasusia vikao vya bunge etc na mashetani lazima waangamizwe kwa moto