SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Ijumaa, 29 Julai 2016

T media news

BREAKING NEWS;UKUTA WA MBOWE WAPINGWA NA KADA MKUBWA WA CHADEMA,SOMA HAPA LIVEE



KATIKA hali isiyo ya kawaida,aliyekuwa kada mwaminifu na mwenye elimu ya kutosha wa CHADEMA,Prof Kitila Mkumbo leo hii ametoa kauli juu ya oparesheni iliyoanzishwa na chama chake ya UKUTA.

Prof Mkumbo ambaye alivuliwa ukada wa chama hiko na MBOWE kwa kile kilichosemekana kuwa ni USALITI,Leo hii kupitia ukurasa wake wa kijamii ameweka ujumbe unaoonekana wazi kama kumkosoa MBOWE na chama chake kuhusu Oparesheni hiyo.