Katika kile kinachoonekana kama maamuzi magumu zaidi kuwahi kufanywa na Rais Dr Magufuli,ni pamoja na kuagiza wananchi kugawiwa bure madini kutoka katika mgodi wa GGM.
Rais Magufuli ametoa amri hiyo leo hii akiwa katika ziara zake katika mikoa ya tabora,shinyanga,na Geita,ambapo ameiagiza waizara ya nishati na madini kuhakikisha wananchi wanapata mawe ya madini hayo kwa ajili ya kuinua hali zao za maisha.