WAZIRI MKUU ALIYE JIUZURU EDWARD LOWASA LEO HII AMEHOJIWA NA MTANGAZAJI TIDO MHANDO KATIKA KITUO CHA TV CHA AZAM NA KUWEZA KUJIBU MASWALI MBALIMBALI YA KISIASA IKIWAMO YA KWAMBA YE ANAONAJE UCHAGUZI UJAO WA MWAKA 2020 ….AKIJIBU KWA KUJIAMINI AMESEMA ANAUHAKIKA KABISA UCHAGUZI HUO ATASHINDA KUTOKANA NA JINSI ALIVYO JIPANGA.