SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumapili, 31 Julai 2016

T media news

BREAKING NEWS:MH;FREEMAN MBOWE AJIPELEKA POLISI LEO


Mwenyekiti wa Chama Taifa wa CHADEMA Freeman Mbowe akiongozana na baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu, Edward Lowassa, John  Mnyika, Mkiti wa Baraza la Wazee Hashimu Issa Juma na  Mwanasheria Mkuu wa Chama Tundu Lissu, 
wakiwasili  Kituo Kikuu cha Polisi (Central) Kanda Maalum ya Dar es Salaam, ambapo Mwenyekiti Mbowe ameitikia wito wa jeshi hilo kupitia wa ZCO Wambura wa kumhitaji afike hapo leo.