SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Jumamosi, 30 Julai 2016

T media news

BREAKING NEWS... RAIS MAGUFULI AMTUMBUA MKURUGENZI ALIYEMTEUA JUZI

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Bagamoyo.