SASA UNAWEZA DOWNLOAD T MEDIA NEWS APPS.

Ijumaa, 27 Januari 2017

T media news

Idris Sultan “Nilipokuwa Kwenye Mahusiano Niliyumba Kiuchumi”


Mshindi wa Shindano la Big Brother Africa Idris Sultan ameamua kukiri wazi kuwa kipindi yupo kwenye mahusiano na Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu alikumbwa na ukata.

Kupitia kipindi cha Clouds E cha Clouds Tv Idris Sultan amesema wakati yupo kwenye mahusiano yake yaliyopita na mrembo Wema Sepetu alikuwa kwenye Ukata hivyo nilijikuta sifanyi vitu vya maana kuliko kipindi hiki ambapo yupo Single.

“Wakati nipo kwenye mahusiano yangu yaliyopita niliyumba kidogo kiuchumi kwani sikuwa nafanya mambo mengi ya muhimu kuliko sasa hivi kwani hata watu wangu wa karibu watakueleza hivyo,nafurahi niko single na naendelea kupambana“Alisema Idris