DANSA MOSES IYOBO AFICHUA MICHEPUKO YA AUNT EZEKIEL


DANSA maarufu wa Kundi la Wasafi  Classic Baby (WCB), Moses Iyobo amefunguka kuwa kamwe hawezi kumnunulia gari mzazi mwenziye, Aunt Ezekiel kwa kuwa anaogopa atapandisha michepuko yake.

Iyobo alifunguka hayo juzikati alipokuwa akipiga stori mbili tatu na Global Publishers ambapo alisema kwa sasa anajipanga kumnunulia nyumba mpenzi wake huyo lakini siyo gari maana anaweza kuwapandisha ‘michepuko’ wake kitu ambacho kitamuumiza bora nyumba mtu hawezi kukanyaga.

“Hapa mimi najipanga nimnunulie nyumba lakini gari hapana nimeshakataa, akipandisha ‘mababy’ zake je? Bora nyumba hakuna mtu atakayekanyaga kabisa,” alisema Iyobo.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: UTAMU WA MADAM JESCA

Simulizi; MTOTO WA BOSS WANGU

SIMULIZI FUPI: UCHI WANGU UMENIPONZA