BREAKING: Taarifa mpya kuhusu watu 15 waliofukiwa mgodini Geita

Baada ya jana kupatikana kwa taarifa za matumaini ya kupatikana kwa Wachimbaji 15 waliokuwa wamefukiwa na kifusi kwenye mgodi huko Geita, leo asubuhi January 29 2017 zimeripotiwa habari njema kwamba wachimbaji wote 15 wameokolewa wakiwa hai.

Endelea kuwa karibu na T MEDIA NEWSnitakuletea taarifa kadri zitakavyonifikia… kwa sasa ni hiyo ya kufahamu na sekunde chache zijazo nitakuletea picha kwenye post inayofatia.

Hii ni picha kutoka kwenye eneo la tukio asubuhi hii

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: UTAMU WA MADAM JESCA

Simulizi; MTOTO WA BOSS WANGU

SIMULIZI FUPI: UCHI WANGU UMENIPONZA