MITANDAO ya Ohio Marekani Yahakiwa na Ujumbe wa Islamic State IS Kuchapishwa

Mitandao kadha ya serikali katika jimbo la Ohio nchini Marekani ukiwemo wa Governor John Kasich imedukuliwa na ujumbe wa kuunga mkono kundi la Islamic State kuchapishwa.

Ujumbe huo ulisema , Donald Trump atawajibika kwa kila tone la damu linalomwagika kwenye nchi za kiislamu na kumalizia kusema "Nunaipenda Islamic Stete".

Ujumbe kwenye mtandao ulikuwa na ishara ya kiarabu na ulikuwa maandishi meusi na meupe ambayo hutumiwa kwenyew bendera ya Islamic State.

Ujumbe kwenye mtandao wa Bwana Kasich ulicheza wimbo wa kuitisha maombi ya kiislamu.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

CHOMBEZO: UTAMU WA MADAM JESCA

Simulizi; MTOTO WA BOSS WANGU

SIMULIZI FUPI: UCHI WANGU UMENIPONZA